oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 378
- 911
Weekend hii iliyopita matreni mengi yalimepata ajari. Naona maofisa walilala na viatu had muda huu sioni code zikimiminika.
Ina njia nyingi sana za kutoa na kuweka option zake ndio usiseme ukitulia lost ni chache mno na pia haina mambo ya kodi.Kuna mtu alinitisha ukideposit kwa njia ya kawaida ya mobile huwezi kuwithdraw kwa mawakala na hivyo inakua imekula kwako.
By z way,1xbet is the best of the best,sijawahi iacha japo bado natumia mawakala
Vipi ya mashujaa na Singida big starWachache huwa hatusumbuki saana . 1X wenyewe prediction zao huwa Ziko accurate kwa zaidi ya 80percent!....na huwa nazitumia sana sana! Kuamua mechi nnayoiona ngumu kama hii...
Nimezitumia mno! Tottenham 2-1 Chelsea
For me .I go for Tottenham win either half!
Mashujaa FC vs Singida Big Star FC. Predictions
1)Both team not to score (0-0) draw
2) Under 2.5 (inaweza kuwa droo ya 1-1, au ushindi wa 1-0, 0-1, 2-1, 1-2)
3) Away win (Singida anashinda)
Maoni yenu wakuu karibu tuchambue
SHukrani mkuuWinnn
Zimetoka 12
Rafu kama zote kadi 8
Yaani uipe team yenye odds ndogo win, si uta poteza au mimi ndio sijaelewa? Umesema win or under 2.5. Au ni options mbili tofautiUkitaka kukwepa ajali zote kama za Liverpool basi unatakiwa kuipa timu yenye odds ndogo (win or under 2.5) na siyo (win or over 2.5) hii ndiyo option konki tena konki haswa ningeweza kukwambia kwanini ni konki ...kwa kifupi tu mechi kama ya Liverpool unayosema ingekuwa na magoli mengi basi lazima mshindi angekuwa ni Liverpool kwa asilimia 99.9 ndiyo maana nikasema option ni (win or under2.5 )
Sasa nionyeshe hizo mechi 3 ulizo sema zimechana ili tuzipime kwa hii option tuone ngapi zitakua bado zimechana ...weka matokeo tuone
1X code tuna wekea wapi .ndo nme join leo kwa hio appN1U2R Only.... On the leading brand in betting 1X....
17 odds...12 events...Nimerudi nyumbani!...maana kumenoga!....nahondomola mwenyewe kwa M-Pesa!
Shukurani kwa uchambuzi mdauAhsante Mdau
1) Mashujaa wasiwatishe na Waganga wao
MASHUJAA bado Team dhaifu mnooo kwa Singida
Haina Draw
2) Options za number 2 zako zote complex, correct score sio option sahihi kiviile
3) Hii Singida win naiunga mkono
Mie nimeipa:-
A) Singida win or Draw
B) Mkeka wa Pili nimeipa overall 1.5
vip kuhusu kadi za njano zinaweza fika 8 leo kwenye hii gameGetafe vs Cadiz : UCHAMBUZI.
- Katika mechi 6 walizokutana ( getafe na cadiz) mechi 4 zimeonekana kuwa na matokeo chini ya goli mbili ( under 2.5 goals FT)
- Mechi 4 alizocheza getafe akiwa nyumbani, matokeo yameonekana kuwa chini ya goli mbili ( under 2.5 goals FT)
- Cadiz amedraw mechi 3 za mwisho against Getafe
- Cadiz amedraw mechi 3 za mwisho kati ya 6 alizocheza kwenye league
- Cadiz ameonekana kuwa na matokeo chini ya goli mbili ( under 2.5 goals) katika mechi 6 za mwisho kati ya 8 alizocheza.
According na huu uchambuzi nilioufanya, best market ya hii gemu ni under 2.5 goals FT.
Yeah uchambuzi mzuri (under 2.5) ni best options. Shukurani sana mdauGetafe vs Cadiz : UCHAMBUZI.
- Katika mechi 6 walizokutana ( getafe na cadiz) mechi 4 zimeonekana kuwa na matokeo chini ya goli mbili ( under 2.5 goals FT)
- Mechi 4 alizocheza getafe akiwa nyumbani, matokeo yameonekana kuwa chini ya goli mbili ( under 2.5 goals FT)
- Cadiz amedraw mechi 3 za mwisho against Getafe
- Cadiz amedraw mechi 3 za mwisho kati ya 6 alizocheza kwenye league
- Cadiz ameonekana kuwa na matokeo chini ya goli mbili ( under 2.5 goals) katika mechi 6 za mwisho kati ya 8 alizocheza.
According na huu uchambuzi nilioufanya, best market ya hii gemu ni under 2.5 goals FT.
Kweli kabisa mkuu watu wasitegemee kuendesha maisha kwa kubeti hata kama wapo Ni asilimia ndogo Sana aiseHuu uzi ikitokea watu wameliwa huwa unatembea balaa,
kila anaeliwa humu anakuja na mbinu yake mpya ila cha ajabu muda wa kubeti tena anajikuta kasahau izo mbinu anaambulia tena za uso kama kawaida anarudi tena kulaani timu na wachezaji 😅
simshauri mtu aache ila betting ni biashara kichaa na % kubwa inategemea bahati.
ONLY BET FOR FUN ⚠️