Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,594
- 17,725
Hapo ndiyo umuhimu wa option ya (to win either half)Gambling Ina mambo sana, unaweza ukaipa Bayern first half win, unashangaa kapigwa moja kwa bila , hafu full time anashinda tano kwa 2,
Hapo ndiyo umuhimu wa option ya (to win either half)Gambling Ina mambo sana, unaweza ukaipa Bayern first half win, unashangaa kapigwa moja kwa bila , hafu full time anashinda tano kwa 2,
Mzee wa corner upewe maua yakoWakuu game ya real madrid fc niliweka kona ziwe 11 au zaidi vip nihesabu maumivu ama ??
jamaa wako vizuri sana ..hawa jamaa walivyoondooa mitandao ya simu kipind kile baada kuletewa zengwe na kina talimba ndo walitupoteza raia,From now onwards....On the leading brand in betting......one and only...1Xbet...
Nimedeposit kiasi kidogo kwa mpesa
Nikacheza live asubuhi hii safe market ili nione nikiwin ntatoa kwa Mpesa!?.... Imetoka..!
Na-Vett B-ball only! 🏀 Huku ndiko kwenyewe...
nilikua nimeiacha miezi 8 sasa baada ya kuwithdraw 70k wakala akanitumia 30 nisubiri apate float...ikawa kimya hadi wa leo...yule jamaa! Aisee...niliamua kumuachia mungu tu...
nikawithrwaw hela yote kwenye akaunti kwa romano! Kwa hasira nikaachana nao!
Win either hslf liver kachana madrid kachana fernabache kachanaHapo ndiyo umuhimu wa option ya (to win either half)
MWisho wa yote hii ni gambling🤣Win either hslf liver kachana madrid kachana fernabache kachana
Habari maafisa ubashiri natumai muwazima wa afya,,kuna mdau katowa wazo hapo juu la kuanzisha group la whatsapp kwajili ya uchambuzi wa mechi..hili kidogo lina mantiki mana humu kwenye kutuma code tutachaniwa mikeka kila siku..mawakala wamevamia humu na wao wanatuma code zao wengine wana beba code kama ilivyo wanaweka hela bila hata kuiediti mwisho wasiku maumivu halafu jamaa wanatuchora tu kwa mbaaaliiii..tusipo shituka tutaumia sana na hatutatoboa kama hili wazo tutaona lina mantiki basi tulifanyiye kazi mapema mwisho wa mwaka huu wazee lazima kanji atupe chetu ila kwa mwendo wa code aaaaah uongo...karibuni kwa mawazo maafisa ubashiri................
Anzisha group mkuuHabari maafisa ubashiri natumai muwazima wa afya,,kuna mdau katowa wazo hapo juu la kuanzisha group la whatsapp kwajili ya uchambuzi wa mechi..hili kidogo lina mantiki mana humu kwenye kutuma code tutachaniwa mikeka kila siku..mawakala wamevamia humu na wao wanatuma code zao wengine wana beba code kama ilivyo wanaweka hela bila hata kuiediti mwisho wasiku maumivu halafu jamaa wanatuchora tu kwa mbaaaliiii..tusipo shituka tutaumia sana na hatutatoboa kama hili wazo tutaona lina mantiki basi tulifanyiye kazi mapema mwisho wa mwaka huu wazee lazima kanji atupe chetu ila kwa mwendo wa code aaaaah uongo...karibuni kwa mawazo maafisa ubashiri................
Ukitaka kukwepa ajali zote kama za Liverpool basi unatakiwa kuipa timu yenye odds ndogo (win or under 2.5) na siyo (win or over 2.5) hii ndiyo option konki tena konki haswa ningeweza kukwambia kwanini ni konki ...kwa kifupi tu mechi kama ya Liverpool unayosema ingekuwa na magoli mengi basi lazima mshindi angekuwa ni Liverpool kwa asilimia 99.9 ndiyo maana nikasema option ni (win or under2.5 )Win either hslf liver kachana madrid kachana fernabache kachana
Point mkuuUkitaka kukwepa ajali zote kama za Liverpool basi unatakiwa kuipa timu yenye odds ndogo (win or under 2.5) na siyo (win or over 2.5) hii ndiyo option konki tena konki haswa ningeweza kukwambia kwanini ni konki ...kwa kifupi tu mechi kama ya Liverpool unayosema ingekuwa na magoli mengi basi lazima mshindi angekuwa ni Liverpool kwa asilimia 99.9 ndiyo maana nikasema option ni (win or under2.5 )
Sasa nionyeshe hizo mechi 3 ulizo sema zimechana ili tuzipime kwa hii option tuone ngapi zitakua bado zimechana ...weka matokeo tuone
Kuwa sehemu salama zaidi, penye Dw unaweza weka Dc, na penye BTTS na over 2.5 unaweza weka over 1.5.ingawa n ngumu kumeza ila nimeuangalia vizuri kama unakitu huu
Nimekusoma mkuu nimeekewa logic yakeUkitaka kukwepa ajali zote kama za Liverpool basi unatakiwa kuipa timu yenye odds ndogo (win or under 2.5) na siyo (win or over 2.5) hii ndiyo option konki tena konki haswa ningeweza kukwambia kwanini ni konki ...kwa kifupi tu mechi kama ya Liverpool unayosema ingekuwa na magoli mengi basi lazima mshindi angekuwa ni Liverpool kwa asilimia 99.9 ndiyo maana nikasema option ni (win or under2.5 )
Sasa nionyeshe hizo mechi 3 ulizo sema zimechana ili tuzipime kwa hii option tuone ngapi zitakua bado zimechana ...weka matokeo tuone
mimi hua naamin betting haina formula,..unayoyaona sio matokeo ndio yanakua matokeo,isingekua ivo kanji angeshafunga biashara..so hua sisumbui sana kichwa.Kuwa sehemu salama zaidi, penye Dw unaweza weka Dc, na penye BTTS na over 2.5 unaweza weka over 1.5.
Tatizo ni kuwa odds zitakuwa ndogo sana, hata 10 zinaweza zisifike, ikakulazimu kuweka mzigo haswa.
Hizi option mbiliNimekusoma mkuu nimeekewa logic yake
Kuna mtu alinitisha ukideposit kwa njia ya kawaida ya mobile huwezi kuwithdraw kwa mawakala na hivyo inakua imekula kwako.From now onwards....On the leading brand in betting......one and only...1Xbet...
Nimedeposit kiasi kidogo kwa mpesa
Nikacheza live asubuhi hii safe market ili nione nikiwin ntatoa kwa Mpesa!?.... Imetoka..!
Na-Vett B-ball only! Huku ndiko kwenyewe...
nilikua nimeiacha miezi 8 sasa baada ya kuwithdraw 70k wakala akanitumia 30 nisubiri apate float...ikawa kimya hadi wa leo...yule jamaa! Aisee...niliamua kumuachia mungu tu...
nikawithrwaw hela yote kwenye akaunti kwa romano! Kwa hasira nikaachana nao!