Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Arsenal

Bayern Munich

Napoli

Barca/Madrid

Roma

Inter / Juve

Porto

Pyramids

Yanga

na wengine kibaoooo
Hapo direct win i kwa

Arsenal(hayupo tena uefa,atakaza na kombe la ligi)
Future(anahitaji point 3muhimu kwenye kundi lake CAFCL)
Bayern yupo kwenye form(ila yupo ugenini nawaza sana🤣)
Napoli nae naona uhakika
Man utd pia anaweza shinda kesho

Roma hapana siwaaminigi
Inter/juve nao dk sifuri wanakugeuka
Madrid barca hii game nashindwa itabiri😆
 
Hapo direct win i kwa

Arsenal(hayupo tena uefa,atakaza na kombe la ligi)
Future(anahitaji point 3muhimu kwenye kundi lake CAFCL)
Bayern yupo kwenye form(ila yupo ugenini nawaza sana)
Napoli nae naona uhakika
Man utd pia anaweza shinda kesho

Roma hapana siwaaminigi
Inter/juve nao dk sifuri wanakugeuka
Madrid barca hii game nashindwa itabiri
Odds 5 hukosi hapo
 
Nimeingia saloon kujiweka fresh nimeacha chelsea anaongoza 1-0 , nakuja kutoka baadae sana mpira ulikua umeisha naingia sportybet mkeka wangu siuoni kwenye unsettled najiuliza imekuwaje? kuja kucheki flash score kumbe wametoa sare 2-2 daah! yan hapa nimechoka natamani hata nistaafu hiki cheo cha afisa ubashiri.
 
.natengeneza odds zangu hapa
JamiiForums-98354702.jpg
 
Msaada odds 5 game za kesho
Nina ka 5k hivi..
Nipate ya supu kesho
Napoli win,Bayern ov 1.5goals yy,ajax ov0.5 goals yy, Monaco ov 1.5 mech nzima,frankfut women ov 1.5 gols yy,hoffenum women ov1.5 gols yy.odd 5 hzo.kidole kwenye cash out muda wote koz ni 89%%%%%
 
Back
Top Bottom