stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,976
- 4,208
Alikuja kuchomoa second half dk za jioni kabiisaSi ameshinda leo 2-1?
Yani kimungu mungu tu
Alikuja kuchomoa second half dk za jioni kabiisaSi ameshinda leo 2-1?
Leo ni majanga kwa baadhi yetuMsipokula na kesho wakamalia itabidi msubuli mpaka mwez wa nne.
Baada ya international games
Poleni sn, hata mm nilichezea sn vipigo kabla ya jn kumtikisa kanj,Leo ni majanga kwa baadhi yetu
Kesho mwana sa hv namalizia 4 cousin nitatoa boko tu.Msaada odds 5 game za kesho
Nina ka 5k hivi..
Nipate ya supu kesho
ArsenalMsaada odds 5 game za kesho
Nina ka 5k hivi..
Nipate ya supu kesho
RajaPoleni sn, hata mm nilichezea sn vipigo kabla ya jn kumtikisa kanj,
Sio mbaya jipange kesho nayo ni siku piaRaja
chelsea
Tottenham
Leipzig
Mamelodi
Wamenivurugia mipango yangu
Hapo direct win i kwaArsenal
Bayern Munich
Napoli
Barca/Madrid
Roma
Inter / Juve
Porto
Pyramids
Yanga
na wengine kibaoooo
Odds 5 hukosi hapoHapo direct win i kwa
Arsenal(hayupo tena uefa,atakaza na kombe la ligi)
Future(anahitaji point 3muhimu kwenye kundi lake CAFCL)
Bayern yupo kwenye form(ila yupo ugenini nawaza sana)
Napoli nae naona uhakika
Man utd pia anaweza shinda kesho
Roma hapana siwaaminigi
Inter/juve nao dk sifuri wanakugeuka
Madrid barca hii game nashindwa itabiri
Kweli kabisaSio mbaya jipange kesho nayo ni siku pia
Porto vs braga naona kama game itakuwa ngumu hivi.Arsenal
Bayern Munich
Napoli
Barca/Madrid
Roma
Inter / Juve
Porto
Pyramids
Yanga
na wengine kibaoooo
Odds 5 hukosi hapo
kmmmk.natengeneza odds zangu hapaView attachment 2557144
Napoli win,Bayern ov 1.5goals yy,ajax ov0.5 goals yy, Monaco ov 1.5 mech nzima,frankfut women ov 1.5 gols yy,hoffenum women ov1.5 gols yy.odd 5 hzo.kidole kwenye cash out muda wote koz ni 89%%%%%Msaada odds 5 game za kesho
Nina ka 5k hivi..
Nipate ya supu kesho