Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

Sirikali hii mhhh. Majuzi tu wanafunzi wa Mkwawa wa mwaka wa kwanza walikandamana hadi kwa mkuu wa mkoa wakidai fedha yao ya chakula ambayo hadi leo hii hawajalipwa. Sasa unajiuliza sirikali si iliingia mkataba na wanafunzi hawa wa kuwakopesha hela ya kujikimu sasa kizungumkuti gani kimewakuta ! hawana hela ? na mashangingi je ?

Siungi mkono uharibifu uliotokea Dodoma lakini naunga mkono kupigania haki yako ya msingi. Utaishi vipi chuoni kama hukupata hela ya kujikimu ? mbona uongozi wa chuo uliwakatalia wanafunzi ambao hawajalipa karo kurudi vyuoni na sirikali hiyo hiyo inashindwa kuwapa hela ya kujikimu.
Matatizo ni mengi katika wizara ya elimu, wizi wa mitihani, kushuka kwa viwango vya kufaulu, migomo vyuo vikuu, wanafunzi kutolipwa hela zao, nk, na kama ningekuwa rahisi (Just Kidding aka JK) ningemtimua waziri wa elimu. kuwa waziri wa elimu huhitaji kuwa professor. isije kuwa anafanya research katika elimu yetu !
 
ukata wa nchi umeshaambiwa ni mgogoro wa kifedha duniani
...haya mapolisi yetu nadhani yanatakiwa kupelekwa darasani angalau yasome sheria kidogo. Yakiamrishwa kupiga yanapiga tu bila kufikiria matokeo ya baadae. We ona kama yule aliambiwa atandike walimu akatandika kisa eti kisa ameamrishwa na wakubwa.
 
Duuh! Hii elimu ya TZ mbona ina mushikeli. Kila sehemu ni mapambano kwa kwenda mbele. Tutafika kweli?
 
mi nafikiri wanafunzi wa vyuoni hawatambuni jinsi ya kudai haki zao,yaan angalia udom wote kwenda kuandamana na kudai pesa zao tena kwa uongonzi wa chuo kwani uongozi ndio unatoa pesa za mikopo? hivi walishidwa kuwatumia viongozi wao wao wa chuo na kuwawakilisha katika madai yao au wakagoma kabisa kuingia darasani, mimi na nafikiri vijana bado wana ile hali ya usekondari, jamani sasa mpo chuo,juweni baada ya hapo mnategemewa na taifa kutoa mitazamo itakayoleya tija, haya ila msinichukie huu ni wangu mtazamo
 
mbarouk,

Utashangaa wanaweza hata kumpiga VC kwa vile serikali imewacheleweshea mikopo!
 
huu upuuzi sijui utaisha lini.si kila mgomo lazima utawanywe na mabomu.mabomu yanafaa kutumika pale tu inapoonekana kuwa kuna tishio la uvunjwaji wa sheria ambao unalenga katika uvunjwaji wa amamni,hii ni common sense haiitaji utaalam wowote what so ever wa kisheria.kama watu wamekusanyika tu just kuonyesha kuwa wanapinga jambo sio sababu ya kupigwa mabomu ya machozi,jambo ambalo polisi wetu ndo wanalijua pekee.kwa maana hii mtu hatakiwi kuwa kinyume na serikali kwa namna yoyote ile...
 
Hawa bodi ya mikopo mbona wenyewe hawapewi adhabu yoyote wakichelewesha mikopo? Hii nchi bwana!! Viongozi wote walioko madarakani wamesomeshwa bure na baba wa taifa lakini wao wanajifanya kuleta sera ya kuchangia.Wanafanya makusudi kwani watoto wao wanasoma nje ya nchi na tena kwa pesa zetu walipa kodi. Huu upuuzi wa polisi kutumiwa na viongozi wasitekeleza wajibu wao kwa umma utaisha lini?
 
Bodi ya mikopo inabidi ipitiwe upya na kutatua matatizo ya wanafunzi wa vyuo vikuu maana wajitahidi kuwawezesha wanafunzi kwa kuwapa mikopo waliyoomba.
 
Wanasheria,

Naomba kuelimishwa. Hivi hii haki ya polisi na wanajeshi, kupiga raia hovyo, wakati wowote na mahali popote wanaitoa wapi.

Najua mabavu yanapaswa kutumika, wanapotaka kumkamata mtu na mtu huyo anagoma.

Lakini, inavyoonekana, hawa watu wanapokuja mahali, wanaanza kusukuma sukuma watu na kutembeza mkong'oto. Hali ambayo inasababisha vurumai.

Je, raia wanayoruhusa kisheria kujitetea? Na kama hawana, kwa nini?
 
Hawajawatendea haki, mabomu au kichapo sio solution zaidi ya kuwazidisha hasira tu!!!
 
WanaJF, natumaini mmesherehekea mwaka mpya vizuri!! Let me info you that UDOM is almost in flames. Baada ya fracas ya wanafunzi, sasa wafanyakazi including walimu wametoa onyo la kugoma iwapo madai yao lukuki hayatakuwa solved ifikapo 8.1.11. Madai ni mengi lkn yanahusu marekebisho ya mishahara, arrears, kutolipwa subsistence and luggage allowances kwa newly employed, etc. Sasa hivi uongozi, hasa DVC-PFA Shaaban Mlacha, haulali. Mlacha ndiye source ya matatizo yote haya, ikiwa ni pamoja na yale ya wanafunzi. He is so powerful that the VC and DVC-ARC have literary been reduced to ceremonials.

Kama kuna wana habari ndani ya hili jamvi basi waje UDOM kupeleleza. naogopa kuwa-contact maana wengine sio waaminifu, wanaweza kulitoa jina langu kwa uongozi.

Just fyi.
 
We msomi bwana mapinduzi katika jamii lazima yaanzie kwako sikuelewi unapoogopa kuvichua maovu yanayoizunguka jamii yako just bcoz uongozi utakufaya! Ushauri wa bure> it seems u failed to fight against them, let u join them!
 
I admit I have failed to fight against them BUT I REFUSE TO JOIN THEM!!
 
Mbona suala la kugoma ni la kawaida na la kikatiba hasa pale haki inaposhindikana kwa njia ya mazungumzo !!!! Mi nadhani uongozi umepewa muda wa kutosha tu kushughulikia madai ya wafanyakazi hao na kama muda huo utafika kabla ya matatizo hayo kushughulikiwa inamaana mazungumzo yatakua yameshindwa kutatua maatatizo ya wafanyakazi hao kwa maana hiyo njia ya mgomo ikitumika baada ya hapo itakua ni PLAN B (mpango mpadala) ya kushinikiza kutatuliwa kwa matatizo yao. Kama ni suala la mishahara mipya nasikia vyuo vingine vyote vya serikali vimeshaanza kupokea tangu mwezi wa 11 mwaka jana sasa inakuaje wale wa UDOM mpaka sasa hawajapata au ndo kusema pesa zao zinalipwa na CCM sio serikali???? Kama wanalipwa na CCM imekula kwao maana chama sasa hivi kiko taabani ki fedha. Sdhani kama HAZINA wanatoa mishahara mipya kwa mafungu. Waangalie pesa zao zisije kua zinafanyiwa mzunguko wa biashara. Inashangaza pia kusikia eti walimu hawajalipwa subsistance allowance wakati wengine wameajiliwa miaka zaidi ya miwili iliyopita. na huyo MLACHA mbona anatajwa sana kukisababishia chuo hicho matatizo serikali haisikii au ndo kuweka pamba masikioni???? Maprofesa wako wengi sana wenye CV nzuri na wazoefu wanaoweza kushika nafasi hiyo.
 
We msomi bwana mapinduzi katika jamii lazima yaanzie kwako sikuelewi unapoogopa kuvichua maovu yanayoizunguka jamii yako just bcoz uongozi utakufaya! Ushauri wa bure> it seems u failed to fight against them, let u join them!

anachotaka dr mkumba ni taarifa iwafikie wanahabari ile wafanye kazi yao. Yeye ameshatuhabarisha sasa wenye mandate ya kudodosa ni press. Na amekuwa wazi kwamba angeweza kuwasiliana na wanahabari (bila shaka anawajua) ila anaogopa wasije wakam quote. Soma vizuri na kuchambua habari badala ya kukurupuka na kuanza kumshambulia mtoa habari. Mfano mtu akisema sehemu fulani kuna majambazi sasa hivi, kama kuna polisi humu ndani atusaidie, unataja mtoa habari afanye nini zaidi ya hiyo? Kama ni maovu unayoyazungumzia wewe dr ameyafichukua ikiwemo mishahara, malimbikizo, posho. Sasa unataka afichue nini?

LKK
 
UDOM hawawezi kugoma, ni waoga na wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe. Ni watu wakunung'unika tuu mtaona
 
Mbona suala la kugoma ni la kawaida na la kikatiba hasa pale haki inaposhindikana kwa njia ya mazungumzo !!!! Mi nadhani uongozi umepewa muda wa kutosha tu kushughulikia madai ya wafanyakazi hao na kama muda huo utafika kabla ya matatizo hayo kushughulikiwa inamaana mazungumzo yatakua yameshindwa kutatua maatatizo ya wafanyakazi hao kwa maana hiyo njia ya mgomo ikitumika baada ya hapo itakua ni PLAN B (mpango mpadala) ya kushinikiza kutatuliwa kwa matatizo yao. Kama ni suala la mishahara mipya nasikia vyuo vingine vyote vya serikali vimeshaanza kupokea tangu mwezi wa 11 mwaka jana sasa inakuaje wale wa UDOM mpaka sasa hawajapata au ndo kusema pesa zao zinalipwa na CCM sio serikali???? Kama wanalipwa na CCM imekula kwao maana chama sasa hivi kiko taabani ki fedha. Sdhani kama HAZINA wanatoa mishahara mipya kwa mafungu. Waangalie pesa zao zisije kua zinafanyiwa mzunguko wa biashara. Inashangaza pia kusikia eti walimu hawajalipwa subsistance allowance wakati wengine wameajiliwa miaka zaidi ya miwili iliyopita. na huyo MLACHA mbona anatajwa sana kukisababishia chuo hicho matatizo serikali haisikii au ndo kuweka pamba masikioni???? Maprofesa wako wengi sana wenye CV nzuri na wazoefu wanaoweza kushika nafasi hiyo.

MLACHA ni untouchable, siyo tu na wafanyakazi bali pia na viongozi wenzake. Hii ni kwa sababu ya uswahiba wake na JK. Wameoa nyumba moja.
 
UDOM hawawezi kugoma, ni waoga na wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe. Ni watu wakunung'unika tuu mtaona

Colgate, you are very right. But I think they mean it this time. KLet us wait and see
 
Back
Top Bottom