AcinonyxJubatus
Senior Member
- Nov 3, 2010
- 125
- 20
:Cry:
Aisee, kama ni hivyo, wana haki ya kugoma. Ina uma sana. Mtu wa namna hii ni zaidi ya mwizi. Angelikuwa mwuaji, angeliitwa CHAIN KILLER.....
Ni Professor gani anayeweza kudhalilisha U Professor wake kiasi hiki? Hivi kweli ndivyo ilivyo hapo UDOM? Jamani hasira inanipanda mie.
Apigwe chini huyo mbilikimo. Akili zake ni fupi wala hafai kua kiongozi. very useless administrator I have ever meat :nono:
hahaha wanawaibia vitukuu vyao bwanaWizi wizi wizi, alafu mtu ni prof unaiba, na una age more than 55 years, almost umeshaishi 3/4 of your life, unakusanya unapeleka wapi, kwanini lakini, na unashindwa kuelewa facts with your myopic view unasema migomo inasababishwa na chadema, kweli, chadema wanauhusiano gani na kula mishahara ya watu au dharau, na vitisho, hamuwezi kudanganya watu, then utasikia mtu huyo huyo anapelekwa sehemu nyingine baada ya ubadhirifu kama huu, natamani hii nchi ingekuwa kama china, ni death penalty without mercy yaani hii nchi imearibiwa vibaya mno na wanojiita maprof. !@#$%%^
Duhh,,Yote ya msingi kwakweli.
Management ina vitisho sana. Mnabidi muwe ngangari la sivyo hamtafanikiwa.
Kwakweli inaumiza sana ila nawapongeza kwahilo.
"No mlacha no cry"
1. UDOMASA
Sita, katika kikao cha tarehe 29 Desemba, 2010 kati ya menejimenti ya Chuo Kikuu cha Dodoma na viongozi wa UDOMASA iliripotiwa na menejimenti ya chuo kuwa wafanyakazi 409 hawajasajiliwa katika payroll ya Hazina. Aidha menejimenti imeshindwa kutoa sababu za msingi kwa tatizo hili licha ya kuwa wafanyakazi hao wameshafanya kazi kwa miezi kadhaa sasa. Mkurugenzi wa Rasilimaili Watu katika Chuo hiki alitoa sababu zisizoweza kuaminika kuwa Hazina ndiyo yenye matatizo. Aidha, uongozi wa UDOMASA imeuliza swala hili Hazina lakini lawama zilirudishwa menejimenti ya UDOM. Hali hii ya kutoingizwa wafanyakazi katika Payroll ya Hazina, pamoja na mambo mengine unapelekea wafanyakazi wa UDOM kuishi kwa mashaka makubwa kwa kuwa menejimenti ya UDOM imekuwa ikitenda kazi zake si kwa kuzingatia kanuni bali kwa vitisho. Mkutano umetoa umeazimia kuwa wafanyakazi wote ambao mpaka sasa walikuwa hawajaingizwa kwenye payroll ya Hazina wawe wameingizwa ifikapo mwisho wa mwezi Januari, 2011. Aidha, ofisi iliyohusika na uzembe huu ndani au nje ya menejimenti ya UDOM iwajibike.
Katika kikao cha leo tena ushahidi wa wazi umejitokeza ambapo mchezo wa kuwa na majina hewa ya wafanyakazi umeeonekana.
Mhadhiri mmoja ameona fomu mbili zinazotumia jina moja na kuwa check number ya aina moja , tofauti iliyowekwa ili kuwadanganya watu wa hazina ni kucheza na jina la kati katika fomu moja limeandikwa jina kamili la paulo na katika fomu nyingine imetumika P kama kifupisho cha jina majina mengine yote yamebaki kama yalivyo. Walimu wote tunafahamiana sasa swali huyo mwingine ni nani na mshahara huo huingia akaunti ya nani. Ni imani yangu kwamba viongozi wa udomasa watatoa taarifa zaidi juu ya wizi huu unaofanyika
kweli kabisa,anachofanya dvc kinajulikana na wakubwaMkubwa huwezi kuwa mkuu wa chuo bila kulamba miguu ya mkubwa. Nakuhakikishia ungekuwa mkuu wa chuo dogo ungemwambia hawakung'oi. Nchi inachefua hii, kila kitu corrupt.