Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Katika ule mwendelezo wa Serikali kupinga wanafunzi wa Vyuo vikuu hasa vya umma kutumia haki yao ya kidemokrasia kudai haki zao, leo Polisi wa mkoani hapa wametembeza kichapo cha "ukweli" kwa wanachuo wa UDOM ambao wamegoma wakitaka walipwe stahili zao za mikopo ambazo zimewafanya baadhi yao waishi maisha magumu na ya kutia aibu hasa kwa wasichana
 
Yaani polisi wetu wamebaki kupiga wanafunzi wasio na hatia badala ya kuwakamata na kuwa adabisha wanao hujumu uchumi wa nchi ambao ndo chanzo cha ukata wa Taifa letu ambacho ni kiini cha migogoro yote hiyo!
 
Je walikuwa wanafanya fujo katika huo mgomo?Au walifanya chochote kinachoweza kuhatarisha amani chuoni hapo?Ningependa kufahamu wamepigwa kutokana na sababu ZIPI hasa(kama ni kweli wamepigwa)
 
Mbona shule za secondary msosi ukiisha shule zinafunga.
Kama vp na chuo nacho kifungwe kama serikali haina pesa za kuwakopesha wanafunzi hao kuliko kuwaaacha wakiteseka.Na Dodoma maisha ghari sana kuliko Dar es salaam hapa Dar mwanafunzi anaweza akatumia 1500-2000 kwa siku na sio DOM.
 
Je ni jukumu la wazazi au serikali kuwapa wanafunzi pesa ya chakula?

Kama nyumbani hamna msosi aulizwe nani?
 
Katika ule mwendelezo wa Serikali kupinga wanafunzi wa Vyuo vikuu hasa vya umma kutumia haki yao ya kidemokrasia kudai haki zao, leo Polisi wa mkoani hapa wametembeza kichapo cha "ukweli" kwa wanachuo wa UDOM ambao wamegoma wakitaka walipwe stahili zao za mikopo ambazo zimewafanya baadhi yao waishi maisha magumu na ya kutia aibu hasa kwa wasichana

Mkuu Shy,

Upo Dodoma wakati huu?
 
Kuna taarifa kuwa polisi wametanda chuoni UDOM na mabomu kadhaa ya machozi yametumika kuwatawanya wanafunzi.Taarifa zaidi nafuatilia nitawajuza punde
 
Mods pls delete this thread to avoid confusion and unnecessary duplication of issues, thanks.
 
Muhimu ni kujadili mada na si sura ya mtu. Huo ni ukosefu wa heshima na pia kumkosoa Muumba. Kama unakosoa sura ya mtu, una tofauti gani na wanaoua Albino?.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom