Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,755
- 84,706
Hoja yangu ni kwanini majukumu ya nyumbani yaendelee kuonekana ya mwanamke peke yake ilihali ya kutafuta pesa yanaonekana ni ya wote, si lazima mwanaume aingie jikoni sawa mnaweza mkaweka msaidizi lakini mbona pamoja na kuweka msaidizi bado huwa mnataka mwanamke asimamie au asaidie na asipofanya hivyo visingizio vya kuchepuka vinaanza, usijiongelee wewe tu hapa tuongelee uhalisia uliopo kwa wanaume wengi yani wanaume wengi wanataka lazima wake zao wajihusishe kwenye majukumu ya nyumbani hata kama nao wanatafuta pesa utasikia "sasa nimeoa mke wa kazi gani"Tatizo lako wewe unapenda vita hata ambapo hakuna ulazima. yaani hapa wewe shida yako ni kulazimisha tu mume aingie jikoni kupika. mke wangu anaenda kazini kwaiyo anakosa muda wa kutimiza majukumu ya nyumbani tutaajiri house girl sio lazima mimi nioshe vyombo au nipike