Mwanaume asiyetumia akili kumpenda mwanamke huishia kuwa mtumwa wa mwanamke

Baba Kisarii

JF-Expert Member
May 7, 2024
334
747
Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa.

Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso.

Mwanaume unazama mazima kwa mwanamke kisa umevutiwa na kiuno ama kario lake.

Kabla ya kuzama mazima ni vyema ukajiuliza maswali kama....
Umempenda kwa akili kweli?

Huyo mwanamke naye

kakupenda kweli?

Kakupendea nini? Nk

Huyo mwanamke yeye anajua umempendea kalio tu na ndio maana huwa analitingisha kila apitapo karibu nawe ili kukupoteza akili kabisa.

Mwanaume ni mtumwa wa matamanio yake, mwanamke huutumia huo utumwa wa matamanio kumfanya mwanaume kuwa mtumwa wake.

Enyi wanaume msiojua kupenda kwa akili acheni kujimwambafu kwamba mko na pisi kali ilihali huwa mnapigishwa magoti na hizo pisi kali zenu.

Mmekuwa watunwa wa hizo pisi kali zenu kwa kuzipenda pasipo kutumia akili.

Mwanaume mwenzangu tumia akili ile uliyopewa na Mungu ili kuvidhibiti hivi viumbe.

Angalizo : sipo upande wa timu kataa ndoa, hivyo msinihesabu katika hilo kundi.
 
Majira ya jioni kwa Kutumia tvs yangu na hela yangu tunaenda kutembea kisarawe huko tutakula mahindi ya kuchoma na kuvuta hewa ya msitu kizimzumbwi jioni tutarudi na kupumzika Pugu Kona hapo tutakula utumbo wa kuchoma wa mbuzi wenye pilipili nyingi
Asubuhi tulipata ka random sex
Asa hapa sijui napelekwa pelekwa au niaje Dr wa mapenzi🤔!?
 
Unamjua vizuri, na yeye anakujua vizuri na anajua ulichompendea.

Huo mtoko hauwezi kuwa wa kupelekeshana iwapo tu hamtoki out ili kuwatambishia wengine.

Kuleni bata Ila mkule kwa akili.
 
Ila mapenzi na akili mi naona kama huwa vinapishana
Raha ya mapenzi hisia maana hata ukitumia akili kama Suleiman bado yatafika sehem yatakupa za uso
NB:
Tunaenda kuwatambia wazaramo kwa kula mahindi
 
Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa.

Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso.

Mwanaume unazama mazima kwa mwanamke kisa umevutiwa na kiuno ama kario lake.

Kabla ya kuzama mazima ni vyema ukajiuliza maswali kama....
Umempenda kwa akili kweli?

Huyo mwanamke naye

kakupenda kweli?

Kakupendea nini? Nk

Huyo mwanamke yeye anajua umempendea kalio tu na ndio maana huwa analitingisha kila apitapo karibu nawe ili kukupoteza akili kabisa.

Mwanaume ni mtumwa wa matamanio yake, mwanamke huutumia huo utumwa wa matamanio kumfanya mwanaume kuwa mtumwa wake.

Enyi wanaume msiojua kupenda kwa akili acheni kujimwambafu kwamba mko na pisi kali ilihali huwa mnapigishwa magoti na hizo pisi kali zenu.

Mmekuwa watunwa wa hizo pisi kali zenu kwa kuzipenda pasipo kutumia akili.

Mwanaume mwenzangu tumia akili ile uliyopewa na Mungu ili kuvidhibiti hivi viumbe.

Angalizo : sipo upande wa timu kataa ndoa, hivyo msinihesabu katika hilo kundi.
Mithali 6:32

"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake"
NENO 👉"kabisa" lina maana imedhibitishwa au ni Kweli na hakika

sasa wanaume wenyewe wanazini na hao wanawake izo akili za kuishi nao hao wanawake wanazitoa wapi?
akili ni dhana ya kufikirika ya uwezo wa MTU kutafsiri/kuchambua jambo au kitu furani kwa usahihi bila kukosea

👉mwanaume akikosa Akili kamwe NDOA itamshinda b'se hawezi kuishi na Mwanamke yeyote atakua ni mtu wa kulalamika kila Siku oh wanawake wapo hivi, wanawake wapo vile kumbe tatizo ni mwenyewe hana Akili

1 Petro 3.7

"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"

👉NDOA ni kwa MWANAUME mwenye Akili pekee yao📌

Kwaiyo hakuna kataa NDOA mwenye Akili ☠️
 
Kanuni ni ile ile "kila jambo muwe na kiasi" mapenzi kwa kiasi = akili, mapenzi zaidi(mahaba) = hisia.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom