Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

You see right there hakuna aliyepo top, but in the end mwanaume ndio kichwa cha familia. But anakuwaje if mtoto wa kike ndio anapewa powers za kusimama kwneye hiyo nafasi huku mwanaume akiachwa apambane kivyake? It a bot unfair
Mkishaona hilo... wababa waleeni watoto wenu katika njia ya maadili ya kiume, lakini hii system ya kuzaa kama mifugo watoto wanalelewa na wamama tu, tena wamama walio busy mnazidi kuwa na kizazi cha wanaume wasiojiamini
 
Suala la kutembea na dada wa kazi ilo ni binafsi sana. Halafu hakuna sehemu nimesema kwamba wanaume hawana makosa. Nimeongelea jinsi mifumo ilivyosukwa kumkandamiza mwanaume.
Hilo siyo suala binafsi bali ndio mitazamo ya wanaume wengi na wanaume wengi waliooa hufanya hivyo na huona sawa kabisa, sasa kama unajua kuwa na wanaume wana makosa kwanini badala ya kuanza kwanza kurekebisha makosa ya wanaume mnalazimisha kurekekebisha ya wanawake tu, uhalisia ni kwamba wanaume hawakandamizwi bali wana inferiority complex tu ya kuhisi kama wanaporwa mamlaka yao waliyozoea kuyatumia vibaya na kwamba wataenda kuukosa ule uvumilivu waliokuwa wanaupata toka kwa wanawake
 
Kila mtu ajitawale mwenyewe kusiwe na wa kumtawala mwenzie, kuoa au kuolewa ni dhana tu iliyotengenezwa wala haina uhalisia, hata wanaosema kuoana wako sahihi kwa upande wao vile vile
Mkuu kwenye jamii kuna gender roles zile sio kutawaliwa zinakuja automaticaly tu kutokana na makuzi ya jamii inayokuzunguka. Majukumu ya mwanamke kufanya usafi, kupika, kumtii mumewe n.k sio utumwa ni gender roles. gender roles sio utumwa.
 
Sikatai mwanamke kupewa haki. Kinacholeta mkanganyiko ni hii kasumba ya wanawake kuwa vigeugeu. Wanataka usawa kwa sababu ya 50/50 ni kitu kizuri hakina shida ila lazima utambue kwamba usawa unakuja na wajibu yaani kama zamani ulikua unawekwa kando kwenye suala la ajira na kusubiri kuhudumiwa na mwanaume sasa hivi umepewa nafasi kwenye kinyang'anyiro cha ajira maana yake lile takwa la mwanaume kukuhudumia litaondolewa. Sasa mwanamke anataka usawa kwa kigezo cha 50/50 lakini zile privelages alizokua anazipata kutoka kwa mwanaume including kuhudumiwa hataki kuziachia ndipo hapa harakati za 50/50 zinaonekana ubabaishaji fulani tu wa kutaka mseleleko.
Compensation ya kubeba mimba na kunyonyesha ni nini?
 
Mkuu katika hoja zako kuna kitu unajichanganya kidogo. Hakuna popote niliposema wanaume hawana makosa. Kama binadamu na mwanaume pia ana makosa hatuwezi kuanza kueleza makosa yote yanayofanywa na mwanaume na mwanamke. Mjadala unahusu namna mifumo inavyomkandamiza mwanaume na mwanamke anatumia nafasi iyo kutimiza malengo maovu. Ni kweli kuna wanaume wakatili, wabakaji, wanyanyasaji n.k lakini mada haihusiani na hayo
Sasa kwanini hakuna anayeanzisha mada ya kukemea hayo na hata ikitokea mtu kaanzisha mada mnamshambulia na kumuita majina ya ajabu, hiyo inatupa tafsiri kwamba mnaona ni sawa mwanaume kufanya makosa hivyo wanawake wanatakiwa wavumilie tu na ndio maana nao sasa wamechoka wameona waanze kuchukua hatua, muwe mnaanzisha na mada za kukosoa maovu ya wanaume au mkiona mtu kaanzisha mada ya aina hiyo msimshabumbulie bali mumpinge kwa hoja
 
Mkuu kwenye jamii kuna gender roles zile sio kutawaliwa zinakuja automaticaly tu kutokana na makuzi ya jamii inayokuzunguka. Majukumu ya mwanamke kufanya usafi, kupika, kumtii mumewe n.k sio utumwa ni gender roles. gender roles sio utumwa.
Huyo kumuelewesha utapata taabu.
 
Mkuu kwenye jamii kuna gender roles zile sio kutawaliwa zinakuja automaticaly tu kutokana na makuzi ya jamii inayokuzunguka. Majukumu ya mwanamke kufanya usafi, kupika, kumtii mumewe n.k sio utumwa ni gender roles. gender roles sio utumwa.
Ni vigezo gani vilivyotumika kugawanya hizo gender roles na ni nani anayeamua kwamba gender roles ni utumwa au siyo utumwa, ukitoa yale majukumu ya kimaumbile ambayo wanaume automatically hawawezi kuyafanya hayo mengine yaliyobaki je nayo hawawezi kuyafanya na kama wanaweza kwanini hawayafanyi, mbona hata wanaume nao wanaona kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto ni utumwa wanataka wanawake wawasaidie hilo jukumu ilihali wao hawataki kusaidia ya wanawake
 
Hilo siyo suala binafsi bali ndio mitazamo ya wanaume wengi na wanaume wengi waliooa hufanya hivyo na huona sawa kabisa, sasa kama unajua kuwa na wanaume wana makosa kwanini badala ya kuanza kwanza kurekebisha makosa ya wanaume mnalazimisha kurekekebisha ya wanawake tu, uhalisia ni kwamba wanaume hawakandamizwi bali wana inferiority complex tu ya kuhisi kama wanaporwa mamlaka yao waliyozoea kuyatumia vibaya na kwamba wataenda kuukosa ule uvumilivu waliokuwa wanaupata toka kwa wanawake
shida unatengeneza assumptions zako halafu unalazimisha ndio ziwe msingi wa hoja. Iyo idadi ya wanaume wengi wanaoona ni sawa kuchepuka na house girl wewe uliipata vipi? Mimi naongea mambo ambayo yapo suala la kugawana mali wakati mwanamke hajachangia chochote, suala la mwanaume kubambikiwa mtoto ni mambo ambayo yapo yanatambulika kabisa kisheria. Mimi ndie mzalishaji wa mali zote halafu tukitalakiana mke apewe 50% unasema sio ukandamizaji ni inferior complexity.! hivi tukiweka iwe vice verse kwamba mali za mwanamke ndio zigawanywe unafikiri wanawake watakubali iyo sheria? Mimi naongelea mambo ambayo yapo kimfumo wewe unakuja na umbea wa kucheat na house girl uliwaona hao wanaume wakati wananyanduana na mahouse girl?
 
Makelele yenu ndani ya nyumba na ubinafsi wa kipumbavu mlionao.
Hayo makelele yanasababishwa na nini yani mwanamke anaamka tu asubuhi anaanza kupiga kelele bila sababu, halafu huo ubinafsi mnaosema wanawake wanao je ni kwa kila mtu hadi kwa watoto wao na wazazi wao au ni kwa wanaume tu, kijana punguza mihemko fafanua huo ubinafsi wa wanawake uko wapi na ni kwa sababu gani
 
Ni vigezo gani vilivyotumika kugawanya hizo gender roles na ni nani anayeamua kwamba gender roles ni utumwa au siyo utumwa, ukitoa yale majukumu ya kimaumbile ambayo wanaume automatically hawawezi kuyafanya hayo mengine yaliyobaki je nayo hawawezi kuyafanya na kama wanaweza kwanini hawayafanyi, mbona hata wanaume nao wanaona kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto ni utumwa wanataka wanawake wawasaidie hilo jukumu ilihali wao hawataki kusaidia ya wanawake
wewe ni mbishi.
 
Wewe umeoa kweli, na una mtoto hata mmoja, au najadili na mvulana hapa
Jibu hoja niliyouliza, maisha yangu binafsi niachie mimi, kunipa K ndo huduma inayofanya tukiachana tugawane mali nusu kwa nusu?
 
shida unatengeneza assumptions zako halafu unalazimisha ndio ziwe msingi wa hoja. Iyo idadi ya wanaume wengi wanaoona ni sawa kuchepuka na house girl wewe uliipata vipi? Mimi naongea mambo ambayo yapo suala la kugawana mali wakati mwanamke hajachangia chochote, suala la mwanaume kubambikiwa mtoto ni mambo ambayo yapo yanatambulika kabisa kisheria. Mimi ndie mzalishaji wa mali zote halafu tukitalakiana mke apewe 50% unasema sio ukandamizaji ni inferior complexity.! hivi tukiweka iwe vice verse kwamba mali za mwanamke ndio zigawanywe unafikiri wanawake watakubali iyo sheria? Mimi naongelea mambo ambayo yapo kimfumo wewe unakuja na umbea wa kucheat na house girl uliwaona hao wanaume wakati wananyanduana na mahouse girl?
Hivi kuhusu hilo suala la mgawanyo wa mali mnataka mfafanuliwe mara ngapi ni kwamba hamuelewi au mmeamua tu kukaza mafuvu, umeshaambiwa huo mgawanyo ni kutokana na muda na nguvu alizowekeza mwanamke katika kutimiza majukumu yake ya nyumbani ikiwemo kulea watoto na kukutii wewe, sasa unaweza kunipa sababu kwanini mume naye apewe mali za mke wake nusu ni kwa vigezo gani
 
Aiseee tunarudi palepale.
Hivi mtu kukupiga ngumi unajiona na mtu kukuvizia akakupiga kisogoni ipi inauma???
Labda nijitahidi kufafanua kwa mara ya mwisho.
Mwanamke kimaumbile huwezi mfananisha na mwanaume,ndio maana mwanaume anaweza tembea kifua wazi ila je mwanamke anaweza?
Kwahiyo mwanamke akichelewa kuolewa kesha akasemwa ni maumbile ndio yako hivyo.
Kuhusu ndoa kuvunjika tusidanganyane wanaume siku hizi tumeshapewa jina la wanyanyasaji.
Tukija katika suala la mtoto wa nje ya ndoa nadhani unafahamu kati ya baba wa kambo na mama wa kambo nani ana afadhali hilo sitaki kulizungumza.
Kuhusu hao masingle mother hukuwahi kukutana nao nadhani ila ungekutana nao nahisi ungeelewa,kwanza fuatilia sababu za wanawake kuwa masingle mother ni zipi utaelewa lawama zitaenda wapi.
Pia wanaume sie mambo yetu zoelefu yani hatuna mambo mengi pia huwezi fananisha athari ya matendo ya mwanamke na ya mwanaume.
Hivi kupigwa na kumsingizia mtu kesi ya ulawiti hivi vinafanana??

Mwanaume hajawahi play victim,mwanaume akilalamika ana sababu ya kulalamika.Ila mwanamke anaweza akaamua kukufanyia mambo ambayo ukijiuliza awali yake nini hupati tena kwa kutumia mgongo wa sheria inayomlinda.Hiyo ndio ku play victim.
Na siku hizi wamejisahau kabisa wao ni kina nani.
Ila tutawanyo
Bora kusaidia chatu alonasa mahala kuliko hawa viumbe dhaifu.

Yan wekeza akili na nguvu kidogo tu kwa mtu ambaye unaona anahofu na Mungu ila kama ni wa 50% kwa 50% bro jua hapo umepigwa na jua utawahi kufa na wao hujua hilo

Jipende mwanaume.jithamini. kuwa mbinafsi kwa maslahi mapana ya maisha yako na watoto wako kama unao.
Jilindi usife mapema kisa hao viumbe.
 
Back
Top Bottom