Siku hizi watu hawasubiri ndoa wanajizalia tu....Yaani hata hujamuelewa aliyeandika, mwanamke kushindwa kutembea kifua wazi alimaanisha maumbile ya mwanamke ni tofauti na ya mwanaume, mwanamke anakoma kuzaa akiwa na miaka 45-50, je akichelewq kuolewa huoni hatopata mtoto? Bado hujaona uhusiano wa kimaumbile wa mwanamke na kuchelewa kuolewa? Na kuhusu mama wa kambo mbona umefukia fukia? Kwa kesi ulizozisikia kati ya baba wa kambo na mama wa kambo nani anaongoza kutesa watoto? Yaani kama hata wanawake hampendani wenyewe kwa wenyewe, mtatupenda sisi wanaume? Mliongea Nini na shetani kule Eden?
Na huko mbele wanawake wataanza nunua sperms, ni swala la muda tu