Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
rihanna-super-bowl-1014x531.jpg

Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena.

Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata mtoto wao wa kwanza wa Kiume May 2022.

Taarifa hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki ambapo wengine wamefurahia huku wengine wakilalamika kuwa #Rihanna hatoweza kuachia albam au nyimbo mpya kutokana na majukumu ya kuwa mzazi.

Je, Umemiss albam na ngoma mpya za Rihanna?

==================

Rihanna runs the Super Bowl.

Five years after her last performance, the pop icon returned to the stage—and even revealed her pregnancy—at the Apple Music Super Bowl LVII Halftime Show at State Farm Arena in Glendale, Ariz. on Sunday. Dressed in a red jumpsuit zipped all the way below her navel, she opened her explosive 13-minute performance with “Bitch Better Have My Money” while perched on a levitating stage high above the field.

Accompanied by hundreds of dancers dressed in white, she delivered hit after hit including “Where Have You Been, “Only Girl in the World,” and “We Found Love.”

In her first performance since 2018, she continued with classics like “Rude Boy,” “Work,” and “Wild Thoughts.” She even served up a bit of “Cake” before segueing into her Unapologetic hit “Pour It Up.”

After powdering her face, the Fenty Beauty mogul continued with “Run This Town” and “Umbrella.” As fireworks lit up the night sky, she closed her stadium spectacular with “Diamonds” while levitating above the crowd.

“Thank you, Arizona,” she said.

It was hard not to wonder if Rihanna was with child. She flaunted her stomach with her unzipped jumpsuit and even rubbed her belly at one point, seemingly alluding to her pregnancy.

In an interview with the NFL Network conducted before Sunday’s show, she hinted that a surprise guest would join her on stage, which may very well have been her unborn child.

“I’m thinking about bringing someone. I’m not sure, we’ll see,” she told Nate Burleson.
 
Safi sana mdada. Huko ndiko kutumika sasa.
 
Usipende kumtania mtu kitu kiko nje ya uwezo wake ni dhambi
Hata kama alikosea hakuna mtu perfect shukuru Mungu kama wewe umejaaliwa Acha kuwazodoa wengine waliokosa unakufuru
Kwenye group la shule ya msingi kuna jamaa alikua anapenda kuita yeyote ambaye hana mtoto tasa. Mpaka alipoambiwa mtoto aliyedhani wake siyo wake ndiyo akatulia
 
rihanna-super-bowl-1014x531.jpg

Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena.

Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata mtoto wao wa kwanza wa Kiume May 2022.

Taarifa hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki ambapo wengine wamefurahia huku wengine wakilalamika kuwa #Rihanna hatoweza kuachia albam au nyimbo mpya kutokana na majukumu ya kuwa mzazi.

Je, Umemiss albam na ngoma mpya za Rihanna?

==================

Rihanna runs the Super Bowl.

Five years after her last performance, the pop icon returned to the stage—and even revealed her pregnancy—at the Apple Music Super Bowl LVII Halftime Show at State Farm Arena in Glendale, Ariz. on Sunday. Dressed in a red jumpsuit zipped all the way below her navel, she opened her explosive 13-minute performance with “Bitch Better Have My Money” while perched on a levitating stage high above the field.

Accompanied by hundreds of dancers dressed in white, she delivered hit after hit including “Where Have You Been, “Only Girl in the World,” and “We Found Love.”

In her first performance since 2018, she continued with classics like “Rude Boy,” “Work,” and “Wild Thoughts.” She even served up a bit of “Cake” before segueing into her Unapologetic hit “Pour It Up.”

After powdering her face, the Fenty Beauty mogul continued with “Run This Town” and “Umbrella.” As fireworks lit up the night sky, she closed her stadium spectacular with “Diamonds” while levitating above the crowd.

“Thank you, Arizona,” she said.

It was hard not to wonder if Rihanna was with child. She flaunted her stomach with her unzipped jumpsuit and even rubbed her belly at one point, seemingly alluding to her pregnancy.

In an interview with the NFL Network conducted before Sunday’s show, she hinted that a surprise guest would join her on stage, which may very well have been her unborn child.

“I’m thinking about bringing someone. I’m not sure, we’ll see,” she told Nate Burleson.
Kafanya bonge moja la performance,
 
Back
Top Bottom