Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,313
P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima Walionusurika katika unyanyasaji wa kingono jijini NewYork.

Kulingana na @nydailynews, katika malalamiko hayo, Joi Dickerson-Neal pia anamshutumu Diddy, au kwa jina lake halisi Sean Combs, kwa kurekodi shambulio hilo. Ripoti zinasema kuwa anayedaiwa kuwa mwathiriwa ni mwanafunzi wa zamani wa Chuo Kikuu cha Syracuse. Dickerson-Neal anadai Combs alimshambulia baada ya kula chakula cha jioni katika mgahawa wa Wells huko Harlem, na akamkaribisha tena kwenye studio yake.

Kesi hiyo inasema Combs alimlisha dawa ambayo ilimweka "katika hali ya mwili ambayo hakuweza kusimama au kutembea kwa uhuru."

---
Rapper Sean 'Diddy' Combs accused of rape in new lawsuit

Rap mogul Sean "Diddy" Combs is being sued by a woman who says he drugged and sexually assaulted her in 1991.

In a lawsuit seen by the BBC, the plaintiff says the assault took place during a date with the rapper.

Mr Combs recently settled a sexual assault suit brought by R&B singer and former partner Casandra "Cassie" Ventura.

A representative for the rapper called the latest allegations "made up and not credible".

"This is purely a money grab and nothing more," the spokesperson said in a statement to the BBC on Thursday.

In the lawsuit, the plaintiff, Joi Dickerson-Neal, says that she knew Mr Combs - who also goes by the stage name Puff Daddy and P Diddy - through acquaintances. She had also appeared in one of his music videos.

According to the complaint, on 3 January 1991, she "reluctantly" agreed to meet Mr Combs at a Harlem restaurant where she worked, and he "pushed [her] to keep him company as he attended to a few things in the city".

She says that during that time she was drugged by the rapper "resulting in her being in a physical state where she could not independently stand or walk".

He later drove her to the place he was staying, where he sexually assaulted her, according to the lawsuit.

She says she later learned he secretly filmed the encounter and showed it to a number of other people.

The lawsuit describes how after the alleged assault her life went into a "tailspin" - she struggled with her mental health and soon dropped out of college.

The legal action came hours before the New York Adult Survivors Act - which allows alleged victims of sex crimes to sue after the statute of limitations has lapsed - ends on 24 November.

"Our client has not been able to escape the continuing impact of the harm Combs caused her many years ago," said Jonathan Goldhirsch, one of the plaintiff's lawyers, in a statement.

"Through the Adult Survivors Act, she can avail herself to the courts to finally seek justice."

A representative for Mr Combs said: "This last-minute lawsuit is an example of how a well-intentioned law can be turned on its head. Ms Dickerson's 32-year-old story is made up and not credible."

This is the second sexual assault lawsuit brought against Mr Combs this month.

Ms Ventura accused the music mogul of rape and sex trafficking in a federal lawsuit filed last week. She alleged that the rap producer raped and beat her over 10 years starting when she was 19 and he was 37.

The two reached a settlement a day after the suit was filed.

Mr Combs had denied Ms Ventura's claims and his lawyer said the decision to settle was not an admission of wrongdoing.

Source: BBC

theshaderoom-20231124-0001.jpg
 
Mwanamuziki wa Rap, Sean "Diddy" Combs amefunguliwa mashtaka na Joi Dickerson-Neal akimtuhumu kumpa Dawa za Kulevya kisha kumdhalilisha Kingono Januari 3, 1991

Mlalamikaji ni Joi anadai alimfahamu Diddy kupitia kwa marafik na pia aliwahi kushiriki katika moja ya video zake za muziki.

Mwanasheria wa Diddy amedai tuhuma hizo ni za kutunga na mhusika ana nia ya kujipatia Fedha.

Hivi karibuni Diddy au Puff Daddy pia alikabiliwa na tuhuma za aina hiyo kutoka wa mpenzi wake wa zamani na Mwimbaji wa R&B, Casandra "Cassie" Ventura lakini wawili hao walimaliza shauri lao nje ya Mahakama.

######

Rapper Sean 'Diddy' Combs accused of rape in new lawsuit

Rap mogul Sean "Diddy" Combs is being sued by a woman who says he drugged and sexually assaulted her in 1991.

In a lawsuit seen by the BBC, the plaintiff says the assault took place during a date with the rapper.

Mr Combs recently settled a sexual assault suit brought by R&B singer and former partner Casandra "Cassie" Ventura.

A representative for the rapper called the latest allegations "made up and not credible".

"This is purely a money grab and nothing more," the spokesperson said in a statement to the BBC on Thursday.

In the lawsuit, the plaintiff, Joi Dickerson-Neal, says that she knew Mr Combs - who also goes by the stage name Puff Daddy and P Diddy - through acquaintances. She had also appeared in one of his music videos.

According to the complaint, on 3 January 1991, she "reluctantly" agreed to meet Mr Combs at a Harlem restaurant where she worked, and he "pushed [her] to keep him company as he attended to a few things in the city".

She says that during that time she was drugged by the rapper "resulting in her being in a physical state where she could not independently stand or walk".

He later drove her to the place he was staying, where he sexually assaulted her, according to the lawsuit.

She says she later learned he secretly filmed the encounter and showed it to a number of other people.

The lawsuit describes how after the alleged assault her life went into a "tailspin" - she struggled with her mental health and soon dropped out of college.

The legal action came hours before the New York Adult Survivors Act - which allows alleged victims of sex crimes to sue after the statute of limitations has lapsed - ends on 24 November.

"Our client has not been able to escape the continuing impact of the harm Combs caused her many years ago," said Jonathan Goldhirsch, one of the plaintiff's lawyers, in a statement.

"Through the Adult Survivors Act, she can avail herself to the courts to finally seek justice."

A representative for Mr Combs said: "This last-minute lawsuit is an example of how a well-intentioned law can be turned on its head. Ms Dickerson's 32-year-old story is made up and not credible."

This is the second sexual assault lawsuit brought against Mr Combs this month.

Ms Ventura accused the music mogul of rape and sex trafficking in a federal lawsuit filed last week. She alleged that the rap producer raped and beat her over 10 years starting when she was 19 and he was 37.

The two reached a settlement a day after the suit was filed.

Mr Combs had denied Ms Ventura's claims and his lawyer said the decision to settle was not an admission of wrongdoing.

Source: BBC
 
P.Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima Walionusurika katika unyanyasaji wa kingono jijini NewYork.

Kulingana na @nydailynews, katika malalamiko hayo, Joi Dickerson-Neal pia anamshutumu Diddy, au kwa jina lake halisi Sean Combs, kwa kurekodi shambulio hilo. Ripoti zinasema kuwa anayedaiwa kuwa mwathiriwa ni mwanafunzi wa zamani wa Chuo Kikuu cha Syracuse. Dickerson-Neal anadai Combs alimshambulia baada ya kula chakula cha jioni katika mgahawa wa Wells huko Harlem, na akamkaribisha tena kwenye studio yake.

Kesi hiyo inasema Combs alimlisha dawa ambayo ilimweka "katika hali ya mwili ambayo hakuweza kusimama au kutembea kwa uhuru."

View attachment 2822798
Huyu Wata m Robert Kelly sio muda🤔
 
Wale watu waovu huenda naye wanamshughulikia kama R. Kelly na Bill Cosb. USA wanapenda sana kushitakiana kwa kesi za ngono. Ukute jitu lilitongozwa likakubali lenyewe miaka imeenda limepigika ki maisha linataka lipatiwe mpunga liendeshe maisha yake. Wale watu waovu nao ukianza kuwakatalia kufanya kazi zao wanazotaka uwafanyie wanakukomoa kwa kesi za ajabuajabu
 
Duh! Hii sheria ikija tz wazee wengi wataishia jela kwa mambo hayo waliowafanyia wanawake huko nyuma ujanani. Unashangaa bibi fulani anafungua mashitaka kuwa ulimnyanyasa kingono alipoingia kwenye geto lako kutazama picha za magazeti uliyobandika getoni enzi akiwa msichana na ushahidi anao
 
Tangu nlivooona juzi kesi ya tupac imeibuka tena na Diddy kahusishwa nikajua tu huyu CIA watampoteza na hakuna kesi rahisi kukupoteza hapo marekani kwa sasa kama ubakaji na unyanyasaji wa jinsia....Kushirikiana na taasisi za siri za serikali unaeza piga ela mingi ila mwisho wake mara nyingi sio mzuri.
 
hahahahah ushahidi atautoa wapi na zama zile camera zilikuwa Ikulu tu 🤣
Duh! Hii sheria ikija tz wazee wengi wataishia jela kwa mambo hayo waliowafanyia wanawake huko nyuma ujanani. Unashangaa bibi fulani anafungua mashitaka kuwa ulimnyanyasa kingono alipoingia kwenye geto lako kutazama picha za magazeti uliyobandika getoni enzi akiwa msichana na ushahidi ana
 
Back
Top Bottom