Ni kweli wamethubutu kuwadanganya Watanganyika hadi wakaliua taifa lao na kukumbatiaUtanzania ambao upande wa pili hawaufagilii. Ni kweli wameweza kuendelea kushikilia madaraka kwa gharama zote: mizengwe na udanganyifu hata pale kura zilipoonekana kutotosha! Ni kweli wanasonga mbele kuhakikisha nchi hii inateketea kwa ufisadi na kuwauzia wageni huku wananchi wao wakiishi maisha ya ufukara wa kutupwa!Inasikitisha kuona miaka hamsini ya uhuru inaliacha taifa likiwa uchi!
Ni kweli wamethubutu kuwadanganya Watanganyika hadi wakaliua taifa lao na kukumbatia
Utanzania ambao upande wa pili hawaufagilii. Ni kweli wameweza kuendelea kushikilia madaraka
kwa gharama zote: mizengwe na udanganyifu hata pale kura zilipoonekana kutotosha! Ni kweli
wanasonga mbele kuhakikisha nchi hii inateketea kwa ufisadi na kuwauzia wageni huku wananchi
wao wakiishi maisha ya ufukara wa kutupwa!
Inasikitisha kuona miaka hamsini ya uhuru inaliacha taifa likiwa uchi!
Kauli mbiu hii imekaa kiWizi mtupu....!
sio lazima ukubaliane asilimia 100 na yaliyoandikwa. lakini utaongeza hekma...
pdf je????????/Mkuu can you paste the report here if you wont mind maana wengine tunatumia hizi simu za kichina attachement haifunguki!