Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

TZ@50

TUMETHUBUTU=KUWA MAFISADI NA KUDHULUMU WANYONGE
TUMEWEZA=Kutengeneza madili kama richmond, IPTL, etc
TUNASONGA MBELE= Giza tororo, masikini kuongezeka, dhuluma zitaduandamana

suluhisho=miaka 50 tulianza kwa nia moja. tukapoteza dira na kujikuta tunaadhimisha miaka 50 pasipo kujua tumefika vipi....sasa ni wakati wa kutengeneza mpango mkakati wa miaka 50 huku tukijeweka malengo ya miaka 10 kujitathmini. vinginevyo naona tukiadhimisha miaka 50 mingine (kwa watakaojaliwa) na habari kama hizi za kuishi gizani, porojo nyingi za kisiasa huku darasa moja likisomewa kama madarasa mawili. TUFIKIRI, TUJIPANGE, TUCHUKUA HATUA!
 
Back
Top Bottom