jina tu lilibadirika lkn viongozi wale wale so CCM is a mother of all FAILURES. sioni umuhimu wa kujigamba eti miaka 50?ya uhuru, over my foootLakini sahihi zaidi kusema "miaka 50 ya Uhuru umeme chini 1000MW" Maana CCM ilianzishwa 1977 na sio 1961.
asante kwa kunirekebisha, ila waliokuwa TANU si ndo hao waanzilishi wa CCM?Lakini sahihi zaidi kusema "miaka 50 ya Uhuru umeme chini 1000MW" Maana CCM ilianzishwa 1977 na sio 1961.
Ni kweli kabisa mkuu, Nchi hii sijui kwanini hatuna wivu wa maendeleo kwa Nchi zingine maana ni aibu kushindwa kupata ufumbuzi ktk masuala muhimu kama haya.asante kwa kunirekebisha, ila waliokuwa TANU si ndo hao waanzilishi wa CCM?
umetafakar? 2fanye nin sis kama vjana? Wakati mwingne nivyema kupeana ushaur, kuliko kuendelea kuyapigia kelele magamba yasio ckia!Ni kweli kabisa mkuu, Nchi hii sijui kwanini hatuna wivu wa maendeleo kwa Nchi zingine maana ni aibu kushindwa kupata ufumbuzi ktk masuala muhimu kama haya.
sijakuelewa mkuu hebu weka wazi... ni msemo unasemwa kitaani.. au ni msemo wako mpya unataka wadau wachangie!... funguka kidogo tulio gizani tukuelewe
Maneno haya ni kauli mbiu ya miaka 50 ya Uhuru. Imetolewa na serikali.