Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,029
256
Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele'

Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?
 
No no no
1- Hatujathubutu, kwani hadi leo baadhi yetu ni watumwa ndani ya nchi yetu, tunanyanyaswa,
tunaonewa na tunauliwa na hao hao wazungu kupitia sisi wenyewe ( mauaji ya Tarime)
2- Hatujaweza, hadi leo bajeti yetu inategemea wazungu achilia mbali misaada n.k.
3- Hatujasonga mbele ukilinganisha na tulioanza nao au tulio waacha nyuma.(Kenya, Rwanda)
 
Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.

Hakika tunasonga mbele.
 
siraji!benki ya wakulima ndio nini?kwani CRDB ilikuwa ya watu gani?matokeo yake sasa crdb ndio inaongoza kwa kutolea pesa za ufisadi.katika miaka 50 university 5 tuu?kila mkoa kuwa na university itafikia miaka 250
 
Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.

Hakika tunasonga mbele.
are you sure you are ok?
 
Nasikia CRDB ilikuwa benki ya wauza mchicha, ikimilikiwa na serikali ambayo baadaye iliuza hisa zake. Na kwa mahitaji ya kilimo kwanza, serikali imeamua kuanzisha benki itakayokuwa inashughulikia masuala ya wakulima; kesho itajenga nyumba kisha kuziuza kwa bei cheee.
Tunazidi kusonga mbele negatively.
 
Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.

Hakika tunasonga mbele.
Nakubaliana na wewe kawa ni kauli nzuri kabisa, lkn haina vitendo ndio nikadiriki kusema hatujathubutu, hatujaweza wala hatujasonga mbele.
Tumethubutu kujitawala. Hivi kweli unakuita huku kujitawala? kuwa mpinzani (mshindani) biashara zako zidode, au kubambikiwa kesi?.

Mbona tulilazimishwa demokrasia ya vyama vingi> Kama hiyo haitoshi ukweli ambao hutaupinga TUNATAWALIWA NA CCM au tunajitawala? Mbona wapinzani hawana haki?

Tumepunguza umaskini kwa hali ya juu sana. Tuko nafasi ya ngapi kwa vigezo vya kimataifa? Na hii ya kuwa 41% wanshindia mlo mmoja ndio hali ya juu.

Tunasonga mbele kuwekeza ktk elimu. Hivi umemsikia Jaji J. Warioba alivyofafanua elimu ya Tz, au yale majengo yasio na ubora yaliyojaa ufisadi pale Udom(Nape ktk ukaguzi). Benki ya kilimo ndio itakayolima mbona tunawaita wahindi kuja kuwekeza ktk kilimo. Benki ya wanawake ina matawi mangapi vjjn. Mbona tulikuwa nazo benki tukazihonga kwa bei ya kutupwa? tunaanzisha nyengine ili tuje tuziuze?

TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
 
I'm proud of my Tanzania,wus up with this Rwanda crap?...are you serious? At least we can complain when the gas prices goes up,when we gained our independence,most indegeneous kids were running,cheering a woman driving a car....but it could've been better.
 
Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.

Hakika tunasonga mbele.

Siraji naona bado una safari ndefu ya kwenda haya anza mwendo................
 
December,9 2011 Ni mwaka wa madhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara. Serikali yetu tukufu inatarajia kufanya maonyesho maalum kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara .

Chini ya Uongozi wa Raisi wetu Msikivu Mheshimiwa Jakaya Kiwete ingekuwa ni vizuri kauanza kuanisha mafanikio amabayo nchi yetu imeweza kuyapata kama taifa huru kwa kipindi hiki cha miaka 50 ambayo ni ya kujivunia , mfano uwepo wa utulivu na amani, upanuzi wa demokrasia, elimu ya juu, huduma za afya nk.

Mheshimiwa Nape ni wakati muafaka wa kuanza kuainisha haya mafanikio kwenye kila ziara utakazokuwa unafanya huko mikoani kabla ya hawa viwavi wa CDM kuteka slogan yetu, TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE
 
Umelipiwa sh ngap garama ya kifurushiiii?????are u kijana??????unachoandika ni ushabiki au ndio kutoka moyoniii?????unless hujui history of Tanzania
 
miongoni mwa sifa ya kichaa ni kutenda/kusema mambo kinyume na anavyopaswa, kachunguzwe akili yako haraka pale mirembe!!!!!
 
Tumethubutu (kutuibia), tumeweza (kutetea mafisadi na uwizi) na tunasonga mbele (ila hapa ndo pamenikwaza mnasonga mbele na wizi wenu mpotee kabisaa vibaka ninyi)
 
pole kumbe tulithubutu na tumeweza mbona maisha yetu magumu kweli zaidi ya wazee wetu wakati wanapewa uhuru.nawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katika dunia hii huwezi kukosa wendawazimu wa fikra, so you are the one representing ur fellows,upupu mtupu
 
Back
Top Bottom