uliposifiki 99
Member
- Nov 14, 2011
- 36
- 1
Tena nimewaona wananch weng wamevalia nguo za ccm mpaka unaweza ukadhan wanaadhimisha miaka 50 ya ccm bhana hebu wabongo tubadilike!!
Waungana ivi magwanda na siku ya leo[uhuru day]kuna uhusiano gani na chama, mbowe leo watu wamemuona kituko mhh,ndiyo uchadema zaidi au,embu wenye maujuzi au mazoefu wanijuze
Hapana, yupo busy anashughurikia matatizo ya mama yako mzazi, au umeshasahau?Lema yupo?
Dr naye yupo,amekaa jukwa la watu wa Tanganyika
Hapana, yupo busy anashughurikia matatizo ya mama yako mzazi, au umeshasahau?
We kweli pipi na unalambwa hasa, kwa mtazamo wako mfinyu, ccm wanavaa rangi ya chama chao, cdm umeona wapi wakavaa nyekundu na nyeupe?Magwanda tu ndio sijapenda kuingia nayo kwenye sherehe za kitaifa je wa CCM nao waingie na kijani? hapo mbowe umeboa wajibika kwanza kwa taifa lako badala ya chama.