Ujumbe kuwa kuna watu wako kwenye mapambano kuurejesha uhuru tuliopata na baadaye kuuzwa na walafi wa CCM.Magwanda tu ndio sijapenda kuingia nayo kwenye sherehe za kitaifa je wa CCM nao waingie na kijani? hapo mbowe umeboa wajibika kwanza kwa taifa lako badala ya chama.