CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,920
Wakuu huyu 6 kwanza ndo mnafiki kuliko watu wote, na amevaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.sita amekuwa anaect kwamba ni mtetezi wa wanyonge kumbe ni mnafiki mno.sita c ndiye aliye jenga ofisi ya usipika kule urambo kwa mamilioni ya walipa kodi akiamini kwamba atakuwa spika wa maisha matokea yake ile ofisi c jui inafanya kazi gani kule urambo