TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Kama Mchange hujajibu juu ya fedha zetu wanaKibaha, hatutaki kukuona huku? Na kama Kubenea anataka ubunge Kibaha kupitia chama chochote anakaribishwa. Bora yeye mtu wa Pwani kuliko wanakibaha kutawaliwa na mtu kutoka Ruvuma akajifanya mtu wa Pwani. NG'O
Ndio maana hata wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 wakati MCHANGE akigombea KIBAHA MJINI mchango pekee aliopewa na CHADEMA ni shilingi laki tano tu(500,000/=) tena siku tatu kabla ya kampeni kuisha huku wakitaka kutompeleka SLAA jimboni mwake mpaka walipogundua kuwa MCHANGE ana nafasi kubwa ya kushinda ndipo wakampeleka SLAA saa nne Asubuhi wakati jimboni kwa JOHN MREMA aliyepata ASILIMIA SITA ya kura zote SLAA alipelekwa vijiji vyote...
hilo linafaa kuwa jibu lako sahihi kabisa...
unatakiwa kwanza ukaweze kuwashawishi wachaga wenzako kule vunjo ndo uhamie kibaha...