Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,939
4,119
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
 
Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao

Mhuni ni wewe usiyefikiri, mjinga na ujinga si tusi. Ukielimika ujinga unatoka
 
Kitendo kutegemea tatizo kubwa litatue tatizo dogo ni kinaitwaje? Kitendo cha kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile, na kwenye hali ile ile huku ukitegemea matokeo tofauti kinaitwaje?
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Wewe ndiye mhuni na mpumbavu. Ujinga siyo tusi bali ni hali ya kutokujua jambo,mjinga akielimishwa huondokana na ujinga na kuwa mwerevu. Ni ujinga kuamini kuwa Makonda anauwezo wa kuondoa matatizo ambayo serikali ya CCM kwa zaidi ya miaka 60 imeshindwa kuyaondoa.
 
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga!

Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka, lakini akikaa kwa kufikiri vema, hawezi tena kurudia kuwaita hivi wananchi ambao ndio wapiga kura wao na ndio ambao wanakutana huko majukwaani kuwaomba kura

Chadema mara nyingi kikiishiwahoja huanza kuwashambulia wananchi na ama viongozi mbalimbali wa vyama vingine kwa matusi na kuwaambia ni wajinga

Chadema wakumbuke kwamba, wao hawaishi kwenye kisiwa, wanaishi kwenye nchi hii hii ambapo wanadieiki kuwaita wananchi wajinga kwa sababu tu wamekosa mbinu ya kuwashawishi ili kuwaunga mkono

Kwa namna mwenezi Makonda anavyokusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi, ni dhahili kwamba, inawatesa sana Chadema na kuwaumiza sana kwamba kwa nini isiwe wao

Wakumbuke hivi, wananchi ambao wanakusanyika kwenye mikutano ya Makonda, ambao wao Chadema wanawaita wajinga, ndio hao ambao ni wapiga kura wao, kuwatukana na kuwaita wajinga kwenye press zao na mitandaoni ni kukosa maono ya wapi chama kinaelekea

Kibinafis sikubaliani nakuitwa mjinga utadhani wao Chadema walinisomesha na àma kugharamia chochote kwenye maisha yangu, haiwezekani wananchi kuitwa wajinga na chama ambacho nacho kinawaomba kura hao hao ili waende Ikulu

Huu ni uwendawazimu, ifike mahali sasa wananchi waanze kugomea mikutano yoyote ya Chadema kwa kuwadhalilisha kwa maneno ya kijinga na yasiyo na ukweli hata kidogo

Chadema ndio hao hao waliowahi kulalamikiwa kuwabagua watu wa kanda ya ziwa na kuwaita kwa majina ya kipumbavu wakati huo huo wanaenda kuwashawishi tena waandamanie chama chao, huu ni ujinga mkubwa sana!

Chadema ni chama cha wahuni? Mbona hakiwaheshimu wananchi wa nchi hii?
Unaweza kufafanua umeandika kitu gani hapo?
 
alowaita nyumbu hakukosea kwakweli 🐒

wananchi haohao wanaowataka wawape au kuwapigia kura ndio haohao tena wanawaita wajinga na hawajielewi 🤣

haki,
for hakuna mahali wanaweza enda 🐒
 
Mjinga akielimishwa ataelimika. Nakuonea huruma mpumbavu.
Labda tueleze hapa huyo makonda ametatua changamoto ipi?
Cheap politics.
 
Utaona atakaye susiwa😅
 
Ni wachache sana wenye fikra pevu ,, kiuhalisia wananchi wanaojitambua hawawez kua wafuasi wa CCM,, kwa upande wangu sidhan kama chadema wanamakosa kuwaita wajinga,,
 
Back
Top Bottom