Mess
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 661
- 181
Unajua nchi hii inaenda kombo mtu anapodai maslahi yake ukitumia ubabe huwa ina hasara kubwa kuliko maelezo. Ebu ndugu zangu tuone mgomo baridi wa walimu unaoendeleaa una mazara makubwa lakini watu wa juu thye dont care. Sasa na huu wa wafanyakazi jamaa kaja mkali sawa saasa ataona utendaji utakavyokuwa. Motivation and work relationship is very crucial. Harafu nasikia jana nyumba ya mh=gaya ilizingirwa asitoke kuna mtu alinipigia simu na waandishi nasikia wametishiwa baadhi kuhusu kumpigia simu mgaya jana na kuuliza msimamo wake. sina hakika ila kuna mtu aliniambia ambaye nina hakika naye. sasa ndo muone wana nje.