Mgomo wa madaktari-wanasiasa, wanaharakati mbona kimya?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mbona kimya sana wanasiasa na Wanaharakati kuhusiana na mgomo wa Madaktari unaoendelea au ndo tumemaliza kazi nini? Thehe thehe thehe thehe. Natania jamani.
 
Mbona kimya sana wanasiasa na Wanaharakati kuhusiana na mgomo wa Madaktari unaoendelea au ndo tumemaliza kazi nini? Thehe thehe thehe thehe. Natania jamani.

Hawa jamaa ni noma kama wachungaji wa Ng'ombe. Wakishagombanisha Madume utawaona haooo kwenye vichuguu virefu wakiangalia game. Huwezi kuwasikia tena. Nilisikia siku moja kigogo mmoja wa TAMWA anasema "tumegungua kuwa Mawaziri hawajajiuzulu na tumegundua kuwa Madaktari nao wamerudi kazini". Nikafikiri wakiamka viboko kwa wote Mawaziri na Madaktari. Kumbe ile "Tumegungua" ilitokna na ukweli kwamba ndiyo walikuwa wametoka kupokea Ngawira kutoka kwa mtoto wa Bibi. Duh! Kweli Ngawira noma. Inafanya mtu unapagawa kabisa . Tum,tum tum , tumegundua kuuuuwaaaaaaaa, hakika anakulea, hongera mama.
 
Mbona kimya sana wanasiasa na Wanaharakati kuhusiana na mgomo wa Madaktari unaoendelea au ndo tumemaliza kazi nini? Thehe thehe thehe thehe. Natania jamani.

mods peleka chit chat, au utani na jokes
 
Jamani masikini watanzania, kura zenu zilinunuliwa na nyingine kujaziwa na NEC.

Nani atawajali watanzania?

Watanzania waoga, wapole. Jamani nani atawaunganisha tuwatoe hawa mawaziri?

Mshahara wa ubunge anayo, sasa mshahara wa uwaziri ni tamaa.

Madaktari na manesi hawamtaki, sasa huyu waziri ataongoza nani? Wagonjwa???

Huyo waziri achukue sindano na bandage aende Muhimbili basi.

Nguvu ya Umma iko wapi? Nani awaunganishe Watanzania ili kesho Asb serikali ikute viwanja vimejaa watu??

Back
Top Bottom