Dkt. Kigwangalla: Niliacha kazi ya Udaktari kwa sababu ya Mshahara mdogo, nilikuwa nalipwa tsh 126,000 Wakati Dereva wa TRA analipwa Tsh. 360,000/-

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,991
142,007
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo.

Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh 126,000 kama Mshahara huku Dereva wa TRA akilipiwa tsh 360,000.

Kigwangalla amesema akiwa Rais wa Chama Cha Madaktari aliongoza Mgomo na Yeye na washirika wake wakatimuliwa na mzee Mkapa.

Source: Clouds Media
 
Madaktari wanaandamana saana hadi raha, nyongeza za mshahara Kwa madaktar ni matunda ya mgomo maana hapo mwanzo mshahara wao ulikuwa kama wa mwalimu tu

Njoo Kwa hawa sasa utaskia shukuru Mungu Kuna wengine wapo mitaani wanatamani hata laki Kwa mwez
Hii ni kwa sababu ya wingi na Umaskini wa familia nyingi wanazotoka Walimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom