Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya!

Na ukimpemda mke hata kufuli utamfulia.
huko kwingine( I can't)

Unapaswa kuwa makini na'' logical '' siyo kusifia hata uozo wa wazi kabisa ulisikia wapi matendo ya serikali kama hii " to and fro" kosoa panapo stahili na sifia panapo sitahili ukisifia tu hawataweza kujirekebisha makosa yao

Ndiyo maana group lako wamekususia mtetezi uko peke yako huoni so
 
Hakuna aliyetishwa, wameamrishwa, waliorudi wamerudi wasio rudi hawajarudi, sasa hivi natazama TV leo asubuhi Madaktari wote wa Mbeya wameripoti na hakuna mgomo huko, au hulijui hilo?

faiza foxy,stegemei msomi kama wewe ukategemea habari za t.v pekee jaribu kusikiliza radio na pia jaribu kuuliza wagonjwa,wananchi na madaktari ili upate habari sahihi.
 
wee mama hiyo mbeya ya dubai?

Yo Yo umenifanya nicheke hadi naulizwa Mama nasheka nini? ah
Huyu FF anatumia nguvu kubwa kweli, haya hata wakihudhuria wanatoa huduma ipasavyo? au ndo tunaandikiwa Panadol kwa ugonjwa wa kisukari?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ni kipi ambacho Kikwete hakifanyi? huyu Rais akiondoka tutamkumbuka kama tunavyomkubuka Mwinyi aliyetutoa kwenye lindi la umaskini.
ni kweli aisee na avae bullet proof mpaka mwisho wa maisha yake vinginevyo ataishia nusu
 
Kufikia hali hii ndipo tofauti ya kiongozi na mtawala hubainika...nachukia dhana nzima ya mgomo kwa kua sio njia stahiki ya kutatua matatizo kijamii ila katika hili la Madaktari na Serikali nashindwa nifurahi ama nichukie kwa maana nimejifunza mengi,na nazidi kujifunza....
 
faiza foxy,stegemei msomi kama wewe ukategemea habari za t.v pekee jaribu kusikiliza radio na pia jaribu kuuliza wagonjwa,wananchi na madaktari ili upate habari sahihi.

namshangaa kwa yeye kusikiliza vyombo vya habari vya tanzania esp TBC ... hivi hafungui BBC na kusikiliza wagonjwa wanavyo BEG serikali ikae mezani kwani huduma wanazo pata kutoka kwa hao madactari walipelekwa haziridhishi kabisa... F.F some times ananchekesha na kunshangaza ...
 
wakimaliza wawalipe fidia wahanga wote wa mgomo

Maana huu unaoendelea ni usanii. Hivi mpaka leo kuna watu bado wanafanya kazi kwa amri? Ndo maana nchii hii imekuwa kama haina mwenyewe. I thought amri ziliisha siku tulipomshinda mkoloni! Why don't we motivate our own people,if our case is genuine?
 
Ati hali ya utoaji huduma afya Muhimbili inarudi kuwa ya kawaida: jamani madaktari 15 wa jeshi kweli wameweza kukavaa pengo la madaktari waliogoma? Propaganda hii mbaya sana. Serikali wanaona ni sawa kulinda image yao kwa public ilhali wagonjwa bado wanateseka.
madaktari wenyewe wameshiba kama vyura vya kihans hata kupumua tabu sijui watawezaje kuhudumha wagonjwa wote hao
 
Hakuna aliyetishwa, wameamrishwa, waliorudi wamerudi wasio rudi hawajarudi, sasa hivi natazama TV leo asubuhi Madaktari wote wa Mbeya wameripoti na hakuna mgomo huko, au hulijui hilo?
''Ataye goma kesho kazi hana '' ni kauli gani hii inaashiria nini haya Mbeya siyajui yawezekana ni propaganda kabisa kama walivyo sema waletaa madaktari kuto Cuba hadi leo hatuoni kitu
 
Dr. Mponda amesisitiza licha ya madaktari hao kuamriwa kurudi kazini, Dr. Mponda amesema baadhi ya madai ya madaktari hao ni genuine hivyo serikali bado iko tayari kuzungumza nao nini inaweza kutekeleza na nini haiwezi!.

BBC pia ilimpata Dr. Ulimboka ambaye alikubali kuwa wako tayari kuzungumza na Pinda. Dr. Ulimboka amesema wazi hawako tayari kuzungumza na watendaji wa wizarani ambao ndio wameufikisha mgogoro huo hapo ulipofika!.

My Take
Kumbe serikali bado iko tayari kuendeleza mazungumzo!. Sasa kwa nini Pinda aliharakisha kuutoa msimamo ule ile Jumapili ilhali ingesubiri mpaka Jumatatu ndipo wangeyamaliza!.

Kurejea kwenye meza ya mazungumzo ni uthibitisho mwingine wa serikali legelege dhaifu na ya waoga kama kunguru!.

Kwa serikali sasa kuwapigia magoti madaktari, Mhe. Pinda nae sasa awajibike kwa aibu!. Afadhali ya Lowassa aliwajibika ili kusave faces, Pinda awajibike kwa aibu ya mwaka kujidai kuchukua maamuzi magumu wakati uwezo hana!.

Oh poor government!.

Aibu!.

Comment hii imenifanya nicheke sana Pasco,nikifikiria mkwara wa Pinda wa J'pili na sasa wamenywea,wanapaswa kujifunza,wasidhani hawa ni walimu ambao huwa wanawachezea wanavyotaka.
 
Tuliona Pinda alivyokwenda Karimjee na kuwangoja na madaktari ndio hawakutokea, kwanini huwa mnapenda kuupindisha ukweli?
alipenda kwenda alikuwa mishe mishe zake kwani aliambiwa kuwa amri yake haitekelezeki akajifanya kulazimisha hayo ndiyo matokeo
 
faiza foxy,stegemei msomi kama wewe ukategemea habari za t.v pekee jaribu kusikiliza radio na pia jaribu kuuliza wagonjwa,wananchi na madaktari ili upate habari sahihi.

Kuna watu wamewezeshwa kufika hapo walipofika ndo maana wanatetea sana hoja ambazo zinakinzana na hali halisi. Hivi huko kwenye kazi za propaganda, hakuna somo la kuhakikisha habari inabeba hoja kwa kubalance?
 
Pinda unawafukuza lini madaktari? mbona hutoi tamko?
Kwa kauli ya pinda mpaka sasa hatuna madaktari alishasema ambaye hata ripoti kazini hyo jumatatu hana kazi, inabidi aanze kutoa ajila mpya la sivyo pinda ntakuona kigeugeu be a man pinda
 
Leo hii madaktari wetu wamegeuka uchwara? Na wewe upo zile orodha za matibabu India? Usidharau taaluma za watu wanachodai ni haki yao ya kimsingi, tatizo ni hawa wanasiasa wetu.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Mkuu kama hao ni madaktari "uchwara" kwanini Pinda misuli ya shingo inamsimama "kuwaamuru" warudi kazini? Si aende sasa huko India, Cuba na China kwenye madaktari "mahiri" waje kutibu wagonjwa hapa nchini.
 
hatimaye serikali imesalimu amri, yatafuta mazungumzo upya na madaktari.

Source ni waziri wa afya akizungumza na bbc swahili jioni hii.

Dr. Mponda amesisitiza licha ya madaktari hao kuamriwa kurudi kazini, dr. Mponda amesema baadhi ya madai ya madaktari hao ni genuine hivyo serikali bado iko tayari kuzungumza nao nini inaweza kutekeleza na nini haiwezi!.

Bbc pia ilimpata dr. Ulimboka ambaye alikubali kuwa wako tayari kuzungumza na pinda. Dr. Ulimboka amesema wazi hawako tayari kuzungumza na watendaji wa wizarani ambao ndio wameufikisha mgogoro huo hapo ulipofika!.

My take
kumbe serikali bado iko tayari kuendeleza mazungumzo!. Sasa kwa nini pinda aliharakisha kuutoa msimamo ule ile jumapili ilhali ingesubiri mpaka jumatatu ndipo wangeyamaliza!.

Kurejea kwenye meza ya mazungumzo ni uthibitisho mwingine wa serikali legelege dhaifu na ya waoga kama kunguru!.

Kwa serikali sasa kuwapigia magoti madaktari, mhe. Pinda nae sasa awajibike kwa aibu!. Afadhali ya lowassa aliwajibika ili kusave faces, pinda awajibike kwa aibu ya mwaka kujidai kuchukua maamuzi magumu wakati uwezo hana!.

Oh poor government!.

Aibu!.

tunamuhitaji lowassa serikalini
 
Inasikitisha watu wa mipango ktk nchi yetu wakiongozwa na mkuu wa kaya wanavyoset vipaumbele. Mhh...!
 
Back
Top Bottom