Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
kauli ya kuwatisia iltoka wapi ili hali serikali ni sikivuuuuuuuuSerikali haikusita kuongea na Madaktari, madaktari ndio waliosita kuongea na Serikali. Hata Pinda alisema waziwazi milango ya maongezi iko wazi. Kwanini mnapenda kusema uongo?
Serikali ya Kikwete ni sikivu kuliko Serikali yoyote ile. Ni nani asiyelijuwa hilo? Tumeona kina Mbowe na Slaa hata walipo susa Rais akawaambia mtakuja tu, na walipokwenda akawapokea na kuwapa Juisi kwa mkono wake. Jee, nani asiyeyajuwa hayo?
Hapo mwisho lengo lako ni kubadli ladha ya UZI