1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Kwa nini wasijue? kwani vijana wao wako likizo?
Inawezekana vijana wao hawafikishi taarifa sahihi,maana nasikia wakuu wetu wao upenda taarifa za kuwasifia tu
Kwa nini wasijue? kwani vijana wao wako likizo?
Kwa hapa saga lilipofikia, madaktari lazima washikilie hapohapo.....wakifanya vinginevyo, consequences zitakuwa kubwa mno na hakuna atakayekuja kuwasikiliza asilani....In principle nakubaliana na madai ya madaktari juu ya maslahi yao.
Hata hivyo wamejiingiza katika mtego wa kisiasa, kwa kutaka kushinikiza kujiuzulu wanasiasa.
Thats dangerous.
Mwanasiasa anaishi kwa kupiga domo, na juhudi zozote za kumuondoa kwa domo ni lazima zitapata upinzani mkubwa sana.
Mbaya zaidi ni precedence ambayo madaktari wanataka kuiweka.
Nawashauri waachane na wanasiasa na waendelee kudai maslahi yao.
Huu mgomo nahisi 85% hautafanikiwa.
So "hautafanikiwa" kama ule wa kwanza eehhh!Huu mgomo nahisi 85% hautafanikiwa.
kuna tetesi serikali imeomba madakitari 350 kutoka india na 300 kutoka china wanaweza wakaingia muda wowote kuanzia kesho.
wasisahau kuleta manesi na wafamasia wa kichinaHilo likitokea basi mjue kuna mawili;
(1) Wananchi kuwasusa hao madaktari wa nje kwa ajili ya kutaka fedha kidogo za nchi yetu zitumike kizalendo na zikabaki hapa hapa nchini, na vile vile;
(2) itakua ni mbinu dhaifu ya kujaribu kuzima moto kwa kutumia petroli - kuna uwezekano mkubw tena sana mgomo sasa ukasambaa zaidi kwa ma-kada mengi ya watumishi wetu ili kutaka kujua kwamba sasa serikali itafanya nini hasa nao wakigoma.
Realistic?Mlisema serikali haifanyi maamuzi magumu haya sasa wameamua kuacha madaktari wagome.
Lete Wachina na wa Cuba hapa mtu 200 zinapiga kazi ya watu 1000.
Pinda, Pinda, Pinda!How many times did I called your name? Be carefulooh! Don't play with those Doctooo!umempa nyingi sana 2 tu zinamtosha
hawa madaktari ni wajinga wanataka kuanzisha mchezo mbaya leo wao shinikizo lao likipitshwa kesho walimu pia watakuja na shinikizo lao sasa serikali gani? Mwisho utasikia na rais asipojiuzulu tunagoma bora wawapotezee tu
walishindwa kulipa laki 7 wataweza kulipa wa nje?kuna tetesi serikali imeomba madakitari 350 kutoka india na 300 kutoka china wanaweza wakaingia muda wowote kuanzia kesho.
Serikali haiwezi kuinuka dhidi ya wananchi wake ikabakia kuwa serikali halali.