Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

hawa madaktari ni wajinga wanataka kuanzisha mchezo mbaya leo wao shinikizo lao likipitshwa kesho walimu pia watakuja na shinikizo lao sasa serikali gani? Mwisho utasikia na rais asipojiuzulu tunagoma bora wawapotezee tu

Naamini busara toka pande zote inaweza kusaidia katika tatizo hili kuliko nguvu, mashindano na vitisho!!!
 
pinda + j.k wanajua kabisa kuwa 99.9% ya mawaziri ni wabovu na hawafai so wanajua wakikubali shinikizo la madaktari la kuwafukuza Nkya na Mponda bas na mawaziri wengine watakua kwenye wakati mgumu sana kwani kila mfanyakazi na mwanaichi atagoma kushinikiza waziri husika ajiuzulu.
hapa ni kuvunja baraza zima ndilo suluhisho! Na selikali imeamua kugoma!
 
Awasikilize hao Madaktari.Kiuhalisia pia ni vyema hao Mawaziri wakajiuzuru kwani lazima kuna jambo na madhara ya mgomo uliopita tuliyaona hivyo ni vyema wakajiuzulu na hapo hapo serikali itimize ahadi zake kwa hao madaktari.Madaktari sio walimu jamani

Wajiuzuru? Toka lini Mtanzania amejiuzuru kwa Kashfa?
EL alizidiwa tu, ila bila ile scandal na yeye angekomaa na hadi leo tungekuwa naye.
 
kuna tetesi serikali imeomba madakitari 350 kutoka india na 300 kutoka china wanaweza wakaingia muda wowote kuanzia kesho.
 
Kuna kila dalili hii nchi kuja kuingia kwenye mgogoro mkubwa sana kwa sakata ili,nafikiri hawa watawala hawajuhi wananchi walivyochoka na kukata tamaha huku uraiani,wawe makini ili jambo ndio linaweza kua chanzo ya kuiingiza nchi kwenye mgogoro kwa ajili ya kuwakingia kifua Nkya na Mponda,hawatokuja kuamini!

Kwa nini wasijue? kwani vijana wao wako likizo?
 
kilichobaki ni wananchi kusema HAPANA kwa utawala huu...basi
 
Cha msingi hapa ni nchi yote kuandamana kushinikiza baraza la mawaziri livunje na wabovu wote wasirudi barazani.
Kumuondoa Nkya na Mponda pekee kwa shinikizo la madaktari si sawa,wakati wapo wabovu kushinda wao. Kama vipi JK naye ashinikizwe apigwe chini.
 
Back
Top Bottom