Mgomo mkubwa UDSM.

wakati wa maazimisho ya miaka 50 ya udsm JK alipata kuona kwa mara nyingine namna asivyokubalika na wasomi hao,,kama wanafunzi wanamadai yao wapewe au wasikilizwe ,matumizi ya nguvu yanamwisho,,,hao polisi wanaotumwa wanatetea tu kibarua chao hata wao wamechoka ,,,
 
watoto wa wakulima itakuaje?halafu soon semistor si inaisha au?

I think we should set up things for future plan, ili watakaukuja b'dae waje wafaidi.
Harakati kwa kuwa wewe una njaa si poa hata kidogo...
 
Emanuel Ndunguru, kijana aliyefukuzwa chuo anafunguka.
Anaeleza uchungu wake from deep down inside.
 
Wanafunzi wanakaribia ku-break through afisi za utawala.
Ni khatari mazee..
 
kumbe nilidisco. Hili gamba nimelipatia wapi?. Au nimenunua cheti?. We soma uje huku uraiani!.

gamba? Hata form 6 na form 4 ukimaliza wanakupa gamba, sasa sijui una gamba lipi maana chuon ulidisko, au unatumia la form 4?!
 
Back
Top Bottom