Mfumo wa gps tracking kwa ajili ya magari pikipiki na bajaji

delp307

Senior Member
Oct 10, 2017
160
114
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.

Mfano

---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa

Kuna aina mbili za ufungaji wa GPS TRACKING SYSTEM

1) Full management tracking system
2) Basic tracking system

Leo nitazungumzia kwa ufupi aina ya pili ya ufungaji pamoja na changamoto zake

UFUNGAJI

Ni mfumo ambao unafungwa kwenye magari madogo,makubwa, pikipiki,bajaji, guta,baiskeli.
Ni mfumo rahisi kuufunga na kifaa( device) yake unaweza kuagiza na kukifunga, Mara nyingi vifaa hivi uwa vinatoka China
hivyo mafundi na watu binafsi wanaweza kuagiza na kufunga kwenye vyombo vya moto

CHANGAMOTO
Baada ya ufungaji kila kifaa (Device) uwa kinakuwa na application (Platform) yake inayo kuwezesha kuona chombo chako kupitia simu ya mkononi au kompyuta. Application ( Platform) hizi huwa ni bure kwa kipindi cha miezi sita mpaka mwaka mmoja.
Hapo ndipo mafundi wengi wanawadanganya wateja wao kuwa Application hizo kuwa ni za bure.

Tatizo uanza baada ya miezi sita au mwaka hapo ndo utaona Device yako imesimama kuripoti na mara nyingi itakuambia DEVICE EXPIRE.

Hapo ndipo utamtafuta fundi wako naye mara nyingi atakua anakukwepa na hata akikupa ushirikiano mara nyingi watakwambia badilisha sim card hata hivyo njia hiyo aiwezi kutatua tatizo mwisho wa siku watakwambia kuwa device imekufa na watakushawishi ununue nyingine.

ambayo baada ya miezi sita au mwaka tatizo lilelile linajirudia tena.

UFUMBUZI
I SECURE TECHNOLOGY ----
kampuni inayojishughulisha na ufungaji wa GPS TRACKER pamoja na mitambo mingine ya ulinzi imekuja na suluhisho la tatizo lako.
---- Kama GPS TRACKER inakwambia DEVICE EXPIRE Usihofu wasiliana nasi kwa namba

0710141917
na 0731827638
Tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa na malipo nafuu vitu vya kuzingatia tutumie aina ya GPS TRACKER iliofungwa kwenye chombo chako cha moto, hakikisha kifaa chako kipo ON, Tutumie namba ya simcard
inayotumika kwenye kifaa chako, vitu hivyo ni muhimu ili kujua kama GPS TRACKER yako inaingiliana na mifumo yetu
KUMBUKA KURECHARGE SIM CARD BADO LITABAKI KUWA JUKUMU LA MTEJA
tutakupa offer ya wiki 2 bure baada ya kufanikiwa kuunganisha mifumo yetu ili kukupa muda wa kufanya maamuzi jinsi ya
kulipia huduma hiyo

GHARAMA ZETU

GPS Tracker mpya 150,000/-
Malipo kwa mwaka 30,000/= , tracking platform fee(Kwa mwaka wa kwanza hakuna haja ya kuliipia huduma hii)

TUNAPOKEA MAONI , USHAURI. TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI

0737 827638
0710 141917
 
Duh! Kwa hiyo nikinunua hiyo GPS kwa 15,000/= nitalazimika tena kila mwaka kulipia 30,000/=, isipokuwa tu mwaka wa kwanza ndiyo mnatoa offer! Au?
 
Malipo ya mwaka ya nn tena?
 
0710141917 na 0731827638

karibuni tuwahudumie
 
Duh! Kwa hiyo nikinunua hiyo GPS kwa 15,000/= nitalazimika tena kila mwaka kulipia 30,000/=, isipokuwa tu mwaka wa kwanza ndiyo mnatoa offer! Au?
Kifaa 150,000 Kwa mwaka wa kwanza. Lakini inabidi mwaka ukiisha unafanyia kukirasmisha tena Kwa 30,000 . Kwa ajili ya kuendelea kupata huduma
 
Malipo ya mwaka Kwa ajili ya gharama ya mfumo tunao utumia. Hii italipwa Kila mwaka. Lakini ukianza kutumia mwaka wa kwanza unalipa pekee installation fee na kifaa ambayo ni 150,000
Huduma bado unayo
 
Mfano mimi nipo mkoani na nafunga chombo kimoja tu utasafiri kwa gharama zako kuja kufunga au utafanyeje
 
Back
Top Bottom