Tunaweka mfumo wa gas kwenye magari

MAGARI GAS NIT

New Member
Feb 6, 2024
1
1
Karibu!! karibu!! NIT
TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za gharama ya mafuta

Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana na ukubwa wa mtungi na aina ya gari

BEI : MILLION 2 kwa mtungi wa kilo 15
MILLION 1.8 Kwa mtungi wa kilo 11
MILLION 1.7 kwa mtungi wa kilo 9

NOTE: Lakini gari kubwa kama Prado, hilux, subaru. Bei ni milion 2.3

MAKADILIO YA UMBALI cc 1200 hadi 1400
Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
NOTE: Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako lakini gas itakusave kwa asilimia 75% ya umbali na gharama za mafuta

PIA KUMBUKA GAS KILO 1 NI SHILINGI 1550 Tu
Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas
Sisi tuna iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m kadhaa za silence.

Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion
WARRANTY MIEZI 6
KUMBUKA hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua

de3c113f52b644ffbbc4c1ca16fbe96f.jpg

LOCATION: Tunapatikana mabibo NIT ndani ya chuo
📞 NAMBA : 0683477676
Whatsapp : 0683477676
 
View attachment 2897097

NAMBA : 0683477676
Whatsapp : 0683477676
Hii milioni 2 ya kufunga mtungi wa gasi unaweza ukaiwekeza sehemu ikakupa mafuta ya kila siku .... hizi bei bado zinatuumiza jamani!!!!
 
Karibu!! karibu!! NIT
TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za gharama ya mafuta

Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana na ukubwa wa mtungi na aina ya gari

BEI : MILLION 2 kwa mtungi wa kilo 15
MILLION 1.8 Kwa mtungi wa kilo 11
MILLION 1.7 kwa mtungi wa kilo 9

NOTE: Lakini gari kubwa kama Prado, hilux, subaru. Bei ni milion 2.3

MAKADILIO YA UMBALI cc 1200 hadi 1400
Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
NOTE: Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako lakini gas itakusave kwa asilimia 75% ya umbali na gharama za mafuta

PIA KUMBUKA GAS KILO 1 NI SHILINGI 1550 Tu
Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas
Sisi tuna iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m kadhaa za silence.

Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion
WARRANTY MIEZI 6
KUMBUKA hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua

View attachment 2897097
LOCATION: Tunapatikana mabibo NIT ndani ya chuo
📞 NAMBA : 0683477676
Whatsapp : 0683477676
Kufunga gas ⛽ kwenye kigari hivi ni haifai aisee.

Yaani space yote ya buti imeishia kubeba mtungi wa gas.
 
Back
Top Bottom