Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
TANESCO watamtetea ndugai ili asiaibike kwa wananchi kwa kukata umeme
Hapo ndipo penye tatizo. Hivi magamba wote wameshindwa kupata mtu anayeweza walau kujenga hoja za kiwango cha Lissu? Sitashangaa Ndugai akiingia mitini siku hiyo.Je, Ndugai ana ubavu wa kushindana hoja na Tundu Lissu? Hapa naona mlima na kichuguu.
kwa sheria za bunge Tundu ataumbuka, hazijui, ama sheria za nje ya bunge Tundu anazifahamu sema tatizo lake hajui kujenga hoja kwa lugha ya kawaida huwa anajenga hoja kwa lugha ya jaziba sana. kitu ambacho mimi siamini kama mtu kujenga hoja mpaka utumie jaziba
Kumbe mdahalo umeshapita Juni 30, mod iondoe hii thread.
Nazidi kusisitiza kuwa LISSU apunguze jazba ili mjadala uwe mzuri kwa faida ya wachangiaji na watanzania wote