Labda kama sheria zimebadilika lakini kama ni hizi zinazoendelea sasa Ndugai hana ubavu, acha ushabiki zungumzia factskwa sheria za bunge Tundu ataumbuka, hazijui, ama sheria za nje ya bunge Tundu anazifahamu sema tatizo lake hajui kujenga hoja kwa lugha ya kawaida huwa anajenga hoja kwa lugha ya jaziba sana. kitu ambacho mimi siamini kama mtu kujenga hoja mpaka utumie jaziba
Lissu hana ubavu kwa Ndugai, ni mgeni mno kwenye siasa. Na isitoshe Ndugai ni BOSS wa lissu

Kumbe mdahalo umeshapita Juni 30, mod iondoe hii thread.
Na hiyo lugha ya Jazba ni lugha gani wakati bunge ni lugha ya Kiswahili na Kiingereza tuu ndicho kinachotumika.kwa sheria za bunge Tundu ataumbuka, hazijui, ama sheria za nje ya bunge Tundu anazifahamu sema tatizo lake hajui kujenga hoja kwa lugha ya kawaida huwa anajenga hoja kwa lugha ya jaziba sana. kitu ambacho mimi siamini kama mtu kujenga hoja mpaka utumie jaziba
Na wewe unakubaliana na huyu mbumbumbu kwamba wabunge wana BOSSI zaidi ya sisi wananchi?Hapo kwenye RED kwani hujawahi kuona BOSS kilaza kuliko anaowaongoza na kuwasimamia, ndugai kilaza tu...

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagh!.........huu ni udhalilishaji. Chadema wamepanga hili ili kujipatia umaarufu wa bei chee. Tundu Lissu awekewe mdahalo na Samwel Sitta.

MODERATOR ni yule mama Mwakitwange..aliyekuwa anampendelea Slaa wakati ule? Nakumbuka alikiona cha moto kutoka kwa CUF!