Mdada aki-behave hivi huwa ina maana gani??

haya shukrani michelle..sasa sasa kila kitu huyu sasa anavua kasoro hiyo sidiria tu, kwani uthamani wa mwanamke upo kwenye maziwa tu???

anataka ujitahidi zaidi....its sweet when wewe umemvua akiwa tayari kalegea wee...si ishu ya thamani....kuna sababu yake....muulize kama hasemi....do your job......utajua tu kwanini????
 
Acha ulege lege, yani hata kumvua mwenza braa unaomba ushauri hee usijeshindwa hata kupasua baloon mwenyewe.
 
hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi kwa aidha labda namna alivyoanza kufanya hayo mapenzi hakuwa anaivua hiyo sidiria ,au anahisi kuna tatizo na matiti yake kama siyo kuna tatizo kweli.
hivi unajua titi la kulia huwa kubwa kuliko la kushoto?pocbo pia akawahajui km hili nalo ni la kawaida.
 
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??

yaani only two weeks and sidiria ishaonekana? Kicheche plus....

Too small or saggy boobs huwa zinafanyaga wakakosa uchangamfu,Pole kama ni wako,kama sio wako nakushauri achana na huo mchezo ulitaka aivue ili umfanyaje?unyonye?shauri zako kuna kidume yalimshinda kakutana na kabinti kabichi kajifanya fundi sana kajikuta anaamka saa 7 za mchana kumbe kabinti kaliweka dawa za kulevya kwenye hizo nini
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??
 
duh kaka malavidavi hayana 4mula kuwa mbunifu ataivua au wewe utaivua pasipo wote kujua . Kuwa mbunifu
 
Dah, tukiwakataaa mnatulaumu, tukikubali mnakuja kutusema sema huku,
Mmmm unapenda huyo dada kweli......................basi itoe mwenyewe!!!!!

kuitoa mwenyewe na kutolewa na mwanaume ipi bora?
 
ukiona namna gani mnunulie zawadi ya bra alafu mwambie aijaribu mbele yako.
 
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??

Atakuwa ananyonyesha mtoto mchanga nyumbani!!! hataki uaribu
 
mie nashindwa kuelewa, kama kila kitu anavua kasoro brazia tu! hapo napo pagumu, ila wakati mwingine ni aibu tu!! wk 2 si kubwa sana, mpe nyingine 2 ufike mwezi uone inakuaje.

ila sio kahaba bana!!
 
Huyo anaficha malapulapu, stocking si soxy tena. Akiitowa sidiria kosa.
 
inawezekana hayapendi matiti yake..
so anahisi na wewe hutayapenda na mwisho utamchukia....

ni tatizo la confidence zaidi....

nenda nae taratibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom