Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
nimekuwa nae faragha kwa takribani 2 weeks, lakini sidiria yake alikuwa haivui,sasa hii huwa ina maana gani??nimejaribu kufuatilia nikaona makahaba huwa na sifa kama hizi coz huenda ikawa ndio sehemu zao sensitive akaja kukupenda wakati yy yupo kibiashara zaidi....je ni kweli au la??