Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

huyu mama vipi??? Au labda anachukua mfano wa yakobo aliyejitwalia baraka za esau mzaliwa wa kwanza na akabarikiwa!!
kama ndio ndivyo basi licha ya kuwa mwanamke hafai kuwa mchungaji, lakini kama ni kwa mfano huo basi hata wakristo wa leo wanamkubali yakobo mwana wa isaka na ameambatanishwa na kizazi cha yesu. Na ni kweli mungu alimbariki.
natoa hoja.
 
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........

Hivi wanaosali kwa huyu mama hata hawashangai, hivi mungi ni wa kumsingizia kiasi hicho, mtu aibe kura, awagawe watu kwa udini namna ile halafu wanasema ni chaguo la mungu.

Kama kweli ni chaguo la mungu kulikuwa na haja gani ya kufanya uchagu maana watu wengi wanaotumwa na mungu kuleta ujumbe hapa duniani au kuongoza watu huwa hagobei, hawna vyama vya siasa, na si wenye chuki, si watoa rushwa, wala kubebwa na mafisadi wakubwa namna ile.

Mimi nafikiri kuna watu hawamfahamu na wala hawaelewi mafundisho ya dini vizuri. Huwezi kusema JK ni chaguo la mungu wakati ameingia madarakani kwa nguvu, fitina, etc.

Hawa wachungaji wanaowadanganya waumini wa wana ya kujibu siku ya mwisho.
 
Swala hili ni nyeti sana.Na hatuwezi kuwahukumu sana kwa sababu fikra zao zinawaonyesha haki ilitendeka kwa kuzingatia maandamano na kusahau uchakachuaji uliojitokeza,vipigo vya polisi na uhesabuji wa kura uliozua utata.Watanzania ni wavivu wa kufikiri na hili naomba tusiingilie Imani za watu kwa sababu nina uhakika kuna watu hawakukubaliana na hilo japo wanasali hapo.Ya kaisari tumuachie kaisari
 
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........

Aagh! Mama Lwakatare tena, we mama, give us a break plz! huyu si ndiyo yule aliwalipa pesa wale watoto wawili waliojifanya wameanguka pale kanisani kwake kutoka kwenye ungo eti walikuwa na bibi yao wanaenda kuwanga wakitokea Kilwa, uchunguzi baadae ukabaini kumbe ni watoto wa hapo mwananyamala na walikula dili na mama Lwakatare....sh****type! Huyu mama hana lolote wala msimshangae kumfagilia JK, nae ni walewale tu! anaishi kwa ujanja ujanja tu hapa mjini, anatumia advantage ya ujinga na kukata tamaa kwa waumini wake kuendeleza porojo na dhulma kwa mgongo wa INJILI, mie nasema siku Mungu akishuka halafu akaweka maovu yetu wazi, watu wengine sijui tutasimamia wapi! God have mercy on us!
 
Tatizo ni pale tunapotaka kuchanganya ulokole na siasa, wao kama wamepata ubunge tena kwa kuteuliwa , uchaguzi wajue ulikumbwa na hila za shetani kupitia ccm. Baada ya kumshukuru Mungu kwa uchaguzi salama sasa ni zamu ya kumwomba huyo Mungu asaidie mapambano ya kuleta katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi. Hata Mungu anajua illegularities zote zilizojitokeza kupitia kwa hao ccm na tume yao!
 
Mama Rwakatare huwa simuelewi kabisa ...labda tutakutana Mbinguni tukajue mbivu na mbichi
 
Huyo hawezi kuwa mchungaji ila mganga njaa tuu maana hata bibilia hairuhusu mwanamke kusimama mbele ya mimbari je akiwa kwenye siku zake aweze ccmama? je siasa na dini tangu lini? je kama yeye ni mchungaji vipi shule zake zi ghali hivyo? anaweza saidiaje watoto wanao ishi ktk mazingira magumu? hivyo aende zake kwenye biashara zake tu aache uongo

Eti jamani, kwani si hata Dokta Slaa ni mchungaji?
 
bado sijajua kama wataweka misa maalum ya kuombea kubadilika kwa katiba ya Tanzania,, na kazi ya Rwakatale Pale bungeni ninini? halafu naomba kuuliza huyu mama ni mchungaji wa Morogoro au ni wa Dar,, maana amechaguliwa kuwakilisha morogoro.. tujuzane basi
 
Huyu mama vipi??? Au labda anachukua mfano wa Yakobo aliyejitwalia baraka za Esau mzaliwa wa kwanza tena kwa hila na akabarikiwa na Mungu!! Je, Mungu hakuliona hilo?? Mbona hajalikemea?? Au ulikuwa mpango wa Mungu??. Au Biblia ilichakachuliwa na Waandishi??
Kama ndio ndivyo basi licha ya kuwa mwanamke hafai kuwa mchungaji, lakini kama ni kwa mfano huo basi hata wakristo wa leo wanamkubali yakobo mwana wa isaka na ameambatanishwa na kizazi cha Yesu. Na ni kweli mungu alimbariki!!

Natoa hoja.
 
Nina mashaka kuwa kikwete ni chaguo la Mungu au chaguo la tume!Mungu hana uswahiba na wachakachuaji, au mnataka afanywe kama mfalme nebkadner wa biblia (aliyegeuka schizophrenic, akawa haogi wala kuchana nywele, akala majani na akaishi polini na wanyama) ndo mjue kuwa Mungu hakubaliani na uchakachuaji?
 
Re: Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...................

KULINGANA NA MAANDIKO MATAKATIFU MAMA RWAKATARE SIYO MCHUNGAJI . ANACHOFANYA MAMA RWAKATARE NI KUPINGANA NA NENO LA MUNGU. KWA HIYO ANACHOONGEA NI PUMBA TUPU. RAIS KIKWETE ATAKUWAJE CHAGUO LA MUNGU WAKTI AMEINGIA KWA KURA ZA WIZI? ASIDANGANYE WATU HAPA. PAMBAF KABISA! SINA HAKIKA KAMA ANA MUME.

BIBLIA INASEMA ,''SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUFUNDISHA WALA KUMTAWALA MWANAMME............''.....MWANAMKE NA ANYAMAZE KATIKA KANISA..........''KAMA KUNA NENO NA AMWULIZE MME WAKE NYUMBANI MAANA NI AIBU KWA MWANAMKE KUNENA NDANI YA KANISA.....'' TUNASOMA BIBLIA TAKATIBU KUTOKA VITABU VYA 1 TIMOTHEO 2:11-14 NA 1 CORINTHIANS 14:34-38...

1 TIMOTHY 2:11-15

[11] Let the woman learn in silence with all subjection.
[12] But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.
[13] For Adam was first formed, then Eve.
[14] And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression.
[15] Notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety.

1 CORINTHIANS 14:34-37

[34] Let your women keep silence in the churches: for it is not permitted unto them to speak; but they are commanded to be under obedience, as also saith the law.
[35] And if they will learn any thing, let them ask their husbands at home: for it is a shame for women to speak in the church.
[36] What? came the word of God out from you? or came it unto you only?
[37] If any man think himself to be a prophet, or spiritual, let him acknowledge that the things that I write unto you are the commandments of the Lord.

Man, this is powerful...........keep it up............Ndibalema...............
 
Eti jamani, kwani si hata Dokta Slaa ni mchungaji?

Lakini Dr. Slaa sasa yeye ni mstaafu lakini huyu mama hata Biblia inayomkataza kazi za kichungaji haifuati............sasa sijui ahubiri nini?...........
 
Nina mashaka kuwa kikwete ni chaguo la Mungu au chaguo la tume!Mungu hana uswahiba na wachakachuaji, au mnataka afanywe kama mfalme nebkadner wa biblia (aliyegeuka schizophrenic, akawa haogi wala kuchana nywele, akala majani na akaishi polini na wanyama) ndo mjue kuwa Mungu hakubaliani na uchakachuaji?
You are right .....we never elected Jk to be the President.......................then ni chaguo la NEC na wala siyo la Mungu......tatizo letu Chadema nao wanamgwaya JK kwa visingizio vya katiba huku katiba yawaruhusu vizuri kabisa kumng'oa kwenye hicho kitebe......chini ya Ibara ndogo Na. 41(5) ikisomwa sambasamba na ibara ndogo Na. 41(7).........
 
Ninachoweza kusema kwa leo: Kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzake, wataishia kuangukia shimoni.
 
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa NEC haikufuata katiba ya JMT katika kumtangaza JK kuwa ni Raisi wetu..........Ibara ya Na. 41(5) inayoitaka NEC kufuata taratibu za sheria ya uchaguzi haikufuatwa.................................swali kwa kada wa CCM ambaye amejibanza kwenye viti maalumu ni je hivi Mungu anachagua watu ambao wanawadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kuchagua viongozi wawatakao?

Kwa lugha nyingine, je Mwenyezi Mungu anaafiki dhuluma kwenye jamii............huyo ni Mungu wa wapi huyo? Na Mchungaji Rwakatare alikutana lini na Mungu kama siyo anajikomba kwa JK kwa kumkashifu Mwenyezi Mungu pale ambapo anapomwingizia maneno kinywani mwake ambayo hakuyasema.............

Ushauri wangu kwa Rwakatare..........mpe Kaisari yaliyo yake lakini hakikisha kwanza unampa Mwenyezi Mungu yaliyo yake na haya elezea ukweli kuwa ulijitungia..........

Nahisi huyu mama ni mgonjwa. Hivi ni Dr. wa nini vile. Namshauri aendelee na miradi yake ya kukusanya sadaka.
 
Nilikuwa natazama Taarifa ya Habari ya Saa mbili ITV,, nikashangaa kusikia Walokole wa Mama Rwakatale wakisema Wanamshukuru Mungu kwa kuweza kutoa baraka zake kipindi chote cha uchaguzi kwa kufanikisha uchaguzi wa Huru na Wahaki,,

Mimi sina tatizo kwa kupitisha misa ya shukurani kwa Mungu kwani hakukuwa na riots na maandamano ya kijinga kwani uchaguzi umekwisha Salama lakini Hofu kubwa ipo kwenye Haki hapa..

Hivi nikweli hawa walokole wanajitambua kweli kabisa jamani
Nahisi hawajitambui na wala hawajui kuwa Tanzania ninini kinaendelea kuhusu uchaguzi huo

Ukiisha ona kiongozi wa kiroho anashikilia nafasi za kisiasa na kuomba kuchaguliwa kama kiongozi wa kisiasa basi ujue kuwa kanisa/msikiti wake lipo katika kipindi cha kuelekea kufa kama yeye hata jitenga na huduma hizo. Ni wehu tu ndiyo watatendelea kuabudu chini yake. Ingekuwa kama walokole hawa wamesema uchaguzi haukuwa huru na haki ungewasikia kina Chiligati na Makamba mapovu yakiwatoka mdomoni kwa kukumbilia kusema kuwa wanachanganya dini na siasa.
 
Back
Top Bottom