Mchumba wangu mchawi

yeye msimamo wake ukoje katika ushirikina?
Kama anajihusisha na yeye umekwisha ila kama hajihusishi poa tu.

Ila ukute mayai yake yashatolewa kafara, mmmh, complex.
 
Waoaji wa siku hizi mwe waangalifu kuliko kawaida kwa sababu licha ya kutoka familia za kishirikina, vibinti vingi siku hizi vinajishirikisha na vitendo vya kishirikina ili maisha yavinyookee.
 
Waoaji wa siku hizi mwe waangalifu kuliko kawaida kwa sababu licha ya kutoka familia za kishirikina, vibinti vingi siku hizi vinajishirikisha na vitendo vya kishirikina ili maisha yavinyookee.

Kengele ya hatari imelia moyoni niliposoma ushauri wako.THANKS
 
mie nilidhani umemkamata live na kumbe ni kwao???? hizo hadithi za kizamani. by the way ni mfipa nini???
 
Unamtafutia dada wa watu sababu. Kama humpendi muambie tu. heading: mchumba wangu mchawi. Story: kwao wachawi
endelea kuchunguza kama ana hata ibi yake aliezaa na mume wa mtu ujue kwao wahuni, kama kakake ama binamu keshawahi kukwiba ujue kwao wezi.
 
Wazee wanatoa maelezo ambayo yananiumiza,,mfano wanasema babake aliuwawa na mama yake,mama yake mdogo hana mume nae wanasema aliuwawa,,bibi yake alishatishiwa kutimuliwa na wanakijiji
KWA NINAVYOMPENDA CHOZI LINANITOKA serious issue
 
nimeuliza sababu mtu kazungumzia ushirikina umetaja wafipa
typical stereo type
na kwa hiyo wa nigeria pia wote wachawi?

If you are aware of normal life in tanzania..i mean kama wewe unapenda kutilia maanani watu wanasema nini...Mara nyingi huwa hakutana na watu ambao huwa ikitokea issue yoyote ya kichawi basi reference ni ufipani.....But if you are carefull enough you would have notice kila sehemu ina sifa fulani na ni kawaida kwa maisha ya kila siku
Nakutolea mfano....Wachaga wanapenda hela,wafipa wachawi,wahaya wanaringa na ile sifa nyingine,wakenya ni wakatili na Nigeria ni matapeli....
But sio kwamba basi wafipa ndio wachawi ....sioni kosa langu kutolea mfano ...If yu knoo woram sayin Mr The Boss
 
Last edited by a moderator:
Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri wenu,,najaribu kumwacha nashindwa maana nampenda,,nisaidieni
Vumilia tu mkuu, ukimmwaga wafa.
 
\\hizi eti eti hizi,zinaharibu mapenzi ya watu mpaka basi!
huyo anayekwambia mchumba wako mchawi kwa sababu tu eti kijijini inasemekana hvo ana nafasi gani lkatika maisha yako!
thats ur life bana!wapo watu mama zao waganga wa kienyeji na hawajwahi kuchanjwa chale toka wazaliwe!wapo watu baba zao wachungaji lakini hawajui hata kabla ya mathayo kinaanza kitabu gani!
 
kwao ni wachawi au yeye ni mchawi? jitahidi uwe na antidote
 
Cha kujiuliza ni uchawi upo au haupo. Nilikuwa naangalia CNN leo wameongelea uchawi Tanzania...na kuna dk wa sociology UD amecomment kuwa uchawi upo sana hasa vijijini. Yeye anatokea maeneo ya Rukwa anasema alipokuwa akienda kusalimia wazazi wakati akiwa mwanafunzi walikuwa wanampangia nyumba za kwenda kusalimia.

Uchawi upo na hakuna mzazi atakayekubali mwanae aoe ukoo wa wachawi...kwani uchawi urithishwa na hata kama hatarithi ndio hayo ya kuzaa watoto afu wanarogwa na wajomba, mama wadogo mashangazi etc.

Wewe Snowhite unaweza kubali wanao aoe kwa say Majimarefu an Manyaunyau?

\\hizi eti eti hizi,zinaharibu mapenzi ya watu mpaka basi!
huyo anayekwambia mchumba wako mchawi kwa sababu tu eti kijijini inasemekana hvo ana nafasi gani lkatika maisha yako!
thats ur life bana!wapo watu mama zao waganga wa kienyeji na hawajwahi kuchanjwa chale toka wazaliwe!wapo watu baba zao wachungaji lakini hawajui hata kabla ya mathayo kinaanza kitabu gani!
 
Uchawi unaendana na umasikini au sehemu kutoendelea...hawa wengine sijuhi wachaga ni washirikina..kuna tofauti kati ya ushirikina na uchawi. Mchawi yeye mwenyewe ni engineer..mshirikina ananunua ndumba kwa mchawi.

Ila tutakuwa tunabisha bureee.Kwani wafipa wenyewe wanakataa kuwa huko kwao kunaongoza kwa uchawi? Mi nina rafiki zangu kadhaa wafipa walioendelea wanasema black and white huko kwao ni noma na hawaendagi kwao ng'o wanaogopa kurogwa.

nimeuliza sababu mtu kazungumzia ushirikina umetaja wafipa
typical stereo type
na kwa hiyo wa nigeria pia wote wachawi?
 
Kama kijiji chote kinawatambua...kimbia hata kama machozi yanakutoka. Yatakauka tu.

Back
Top Bottom