Mchumba wangu mchawi

Umesikia chunguza upate ukweli utamhukumu mtu vp kwa kusikia
 
We muislam ama mkristo?
Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri wenu,,najaribu kumwacha nashindwa maana nampenda,,nisaidieni
 
Fanya uchunguzi wa uhakika juu ya hilo. Amini nakuambia, uchawi upo, watu wanakufa kwakulogwa kwahiyo kuwa makini na hilo. Ukibaini na kujiridhisha nafsi yako kuwa hilo ni kweli huna haja ya kuwa na mapenzi ya kijinga na ya kipumbavu ya kuendelea kumpenda huyo mwanamke, wewe mmwage papohapo na utapata mwingine na utampenda tu. Hatuishi kwenye Dunia ya kinadharia bali ya vitendo, hayo yanatokea. Fanya maamuzi magumu sasa kuokoa maisha yako na ya watoto wako baaade kama Mungu atakujaalia hilo. Hata kama mwanamke yeye si mchawi, wazazi wake ni tishio kwa kizazi chenu, kama uniamini wewe endelea naye hali ukiamini kuwa ni mchawi. Amini nakuambia kama wazazi hao ni kweli wachawi, familia yako itasambaratika.

Na wewe ni mchawi ndio maana mmejuana.oaneni tu mpime nguvu zake kwanza
 
Watu wanapenda unafiki...

Haya hakuna uchawi ...watanzania wote ni wacha Mungu.

Hakuna uchawi kabisa tena ni aibu hata kuuzungumzia . Lol
 
Fanya uchunguzi wa uhakika juu ya hilo. Amini nakuambia, uchawi upo, watu wanakufa kwakulogwa kwahiyo kuwa makini na hilo. Ukibaini na kujiridhisha nafsi yako kuwa hilo ni kweli huna haja ya kuwa na mapenzi ya kijinga na ya kipumbavu ya kuendelea kumpenda huyo mwanamke, wewe mmwage papohapo na utapata mwingine na utampenda tu. Hatuishi kwenye Dunia ya kinadharia bali ya vitendo, hayo yanatokea. Fanya maamuzi magumu sasa kuokoa maisha yako na ya watoto wako baaade kama Mungu atakujaalia hilo. Hata kama mwanamke yeye si mchawi, wazazi wake ni tishio kwa kizazi chenu, kama uniamini wewe endelea naye hali ukiamini kuwa ni mchawi. Amini nakuambia kama wazazi hao ni kweli wachawi, familia yako itasambaratika.

Asante sana,,nitazingatia
 
Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri wenu,,najaribu kumwacha nashindwa maana nampenda,,nisaidieni

Mtafute majimoto wa jukwaa la business atakupa dawa yao ndo mambo yake hayo
 
si kweli mkuu mbona hii ni kawaida tu kujulikana ukiish jamii fulan mbona watu mnakuwa mnafahamu ile familia bibi yao ni mchawi wao ni wachawi,
inamaana toka uishi hujawahi sikia watu wanasema yule bibi mchawi au ile nyumba ni wachawi?

so kufaham wale ni wachawi sio mpaka mwingine awe ni mchawi unakuta ni ukweli uliopo kutokana na uchawi wa familia hiyo na kila mtu kujua hapo mtaani

ukiona mtu anayooshea vidole wenzake kuhusu uchawi, ujue kabisa huyo ndio mchawi

umecheki vizuri na wazee wako kama sio washirikina?
 
mkuu kama una mashaka mpige chini, tena fasta mkatie laini zote! hata kama huyo demu yeye sio mchawi lakini tayari utakuwa tayari kwenye mzunguko wa familia yao, manake ukioa anaweza akawatembelea bibi yake au ndugu yoyote ambaye ni mchawi akawadhuru! kumbuka kinga ni bora kuliko tiba!

umenigusa kuna demu alikuwa ananipenda sana lakini familia yao ndio hiyo ya kizaramo hapo kila mtaani anajua bibi yao mchawi , hapo kila mtaani anajua nyumba yao ni wachawi
nilimkatia mazoea yote, full kumchunia, akipiga simu sipokei, na sasa ni miezi kadhaa nishaepukana naye!

Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri wenu,,najaribu kumwacha nashindwa maana nampenda,,nisaidieni
 
si kweli mkuu mbona hii ni kawaida tu kujulikana ukiish jamii fulan mbona watu mnakuwa mnafahamu ile familia bibi yao ni mchawi wao ni wachawi,
inamaana toka uishi hujawahi sikia watu wanasema yule bibi mchawi au ile nyumba ni wachawi?

so kufaham wale ni wachawi sio mpaka mwingine awe ni mchawi unakuta ni ukweli uliopo kutokana na uchawi wa familia hiyo na kila mtu kujua hapo mtaani

huwa tunathibitishaje kwamba familia fulani ni wachawi?
 
unachukua test tube, ndani unaweka H2SO4 kidogo, unachukua na PKMNO4, unachanganya na kijiko kimoja cha ukwaju, maffi kidogo ya sisimizi, kwato ya mbu, unaweka kwenye Bunsen burner, hakikisha mchanganyiko uchemke kwenye -100C degree. bye
 
That sums up everything..... Congratulations:deadhorse::deadhorse:
 
Acha uoga!!! kwanza elewa kuwa hakuna uchawi. baki kwenye msimamo wako. msike mungu wako sana na hata hao wanaokuletea umbea wataacha.
 
ndege wanaofanana huruka pamoja
hata hao wazee wako ni wachawi ndo maana wakajua na wa mwenzio wachawi
usikubali
Smile ni ukweli m2pu chakufanya na yeye ajifunze au afundishwe awe mchawa waendelee kuishi na Mpz wake mzuri anaye mpenda
 
Back
Top Bottom