Mchumba wangu mchawi

Acha uoga!!! kwanza elewa kuwa hakuna uchawi. baki kwenye msimamo wako. msike mungu wako sana na hata hao wanaokuletea umbea wataacha.
Suala la uchawi lipo ht vitabu vya mungu vinasema ila yeye anapata muda wapi mpk kupokea habari za mpz wake kwa watu?
 
Acha uoga!!! kwanza elewa kuwa hakuna uchawi. baki kwenye msimamo wako. msike mungu wako sana na hata hao wanaokuletea umbea wataacha.

Acha kumdanganya mwenzio........uchawi upo.......kikubwa amtangulize Mungu mbele manake hakuna zaidi ya Mungu
 
unachukua test tube, ndani unaweka H2SO4 kidogo, unachukua na PKMNO4, unachanganya na kijiko kimoja cha ukwaju, maffi kidogo ya sisimizi, kwato ya mbu, unaweka kwenye Bunsen burner, hakikisha mchanganyiko uchemke kwenye -100C degree. bye

Hahahahahah daaah......jf raha kweli!
 
'Wedha' o not kwao ni wachawi au yeye ndo mchawi zote sio hoja,hoja ni 'MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA'. Mwombe sana Roho Mtakatifu akuoneshe mke wako mwema,wala usilazmishe awe yeye. UCHAWI NI ROHO CHAFU ZILIZO FUKUZWA MBINGUNI. Roho hiyo ya uchawi huwa inarithishwa kizazi mpaka kizazi.CHUKUA TAHADHARI KAKA,NAMI YALINIKUTA KAMA YAKO.YESU PEKEE NDIO KIMBILIO,MSHIKE SANA.
 
Asanteni sana JF members,,nafarijika kwa mashauri mema mnayonipa..I promise kufanyia kazi
GOD BLESS JAMII FORUM MEMBERS
 
Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri wenu,,najaribu kumwacha nashindwa maana nampenda,,nisaidieni

Nenda Sumbawanga
 
Kama unampenda basi kubali yote yatakayotokea baadae.
 
Back
Top Bottom