Tetesi: Mchengerwa, mzee wa "kifua" sasa kaingia figisu!

Kwa
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Kwa hiyo issue ni kumtaja mtu tu tayari umeshamchafua? Aise nyie chagadema akili mnazijua nyie
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Mwacheni Mkwe;mkizidi kumuandama,Mama anaweza kumteua kuwa Naibu Makamu wa Rais na kuandika Letter of Attorney kuwa majukumu yote ya Urais wa Muungano anamkaimisha Mkwe!
Achelewi yule Bibi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kijinga haya, angekuwa kajimilikisha binafsi sawa, haya sasa ndo majungu, ukisikia majungu ndo haya sasa
Mkuu ujinga w majungu ndo unawaangusha watu toka viti vyso vya enzi.
Gazeti la Mwanahalisi limekuwekea kabisaaa picha ya jungu lenyewe.
Usipoamka toka usingizi wa pono, hivi hivi Mchengerwa kesha kuwa fisadi wa mali za umma.
 
mabeans.png
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Izushi .
 
Nafikiri mwandishi wa taarifa za kiuchunguzi polisi wamemtaka aripoti kituo kikuu Dar Es Salaam kitengo cha Cyber-crime kwa mahojiano sijui kwa ajili ya nini mtu kaibua uozo halafu anawekwa hadharani, je sheria ya 'The whistleblower" Act imezingatiwa? Usalama wake uko wapi dhidi ya mtu aliyetuhumiwa?
Mbona viongozi walichukuliwa kama miungu watu? Kwanini mtu aliyetuhumiwa kujimulikisha gari alikuwa amelificha gari hilo nyumbani kwake na baada ya taarifa kuweka wazi haraka haraka akalihamishia wizarani?
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!

Kwenye hili kuna haja ya kujiridhisha kama kinachosemwa ni kweli au limezushwa tuu kwa lengo la kumchafua.
 
Yaani wezi watampiga vita mwizi mwenzso?
We vipi mizania yako ya akili!
Sasa na wewe nae unanipima Mimi akili! Unajipimaje akili na mtu usiye mjua?

Hivi Lissu amewaharibu kiasi kwenu kila mtu mwenye maoni/mtazamo tofauti kwenu ni kumtukana!?
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Sasa si limewekwa namba ya waziri na bado ni mali ya serikali sasa mbona hamna issue hapo.
 
Sasa na wewe nae unanipima Mimi akili! Unajipimaje akili na mtu usiye mjua?

Hivi Lissu amewaharibu kiasi kwenu kila mtu mwenye maoni/mtazamo tofauti kwenu ni kumtukana!?
Kitokacho mtu ndio unapima uwezo wake wa kufikiri.
Lord Denning tunayemsoma katika Sheria hatujawahi kumwona hata siku moja, lakini tunamkubali.
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Wote ni wale wale tu.
 
Back
Top Bottom