Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,336
- 24,232
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.
Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
UPDATE!!!!
Kuna tetesi kuwa mwandishi wa habari za Mwanahalisi amekamatwa.
Hizi habari zimekuwa quoted, and no pun intended.
Kwa hiyo wadau tujadiliane kwa uelewa huo.
Inawezekana kabisa kuna washindani wa kisiasa wako nyuma ya swala hili.