Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 408
- 568
Kwa
Kwa hiyo issue ni kumtaja mtu tu tayari umeshamchafua? Aise nyie chagadema akili mnazijua nyieView attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.
Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!