Kwa hiyo kesi naimani magamba watashinda, hawawezi kubali kupoteza hilo jimbo wakati jimbo la segerea ni hatihati mpaka sasa! nguvu ya umma ipo mashakani.Raia wamejitokeza kwa wingi sana, askari kibao ukumbi umejaa sana, hukumu bado haijaanza kusomwa wanasubiri wafunge spika kwa nje.
UPDATES:
Jaji bado hajaingia, raia waliojipambanua ni CDM na ndo wengi zaidi ya 95% na wamekula kombati, wapo makamanda toka mkoa mpya Katavi toka Mpanda mjini na Tunduma
Mahakama ipi? Kuwa specific mzee
Kwa hiyo kesi naimani magamba watashinda, hawawezi kubali kupoteza hilo jimbo wakati jimbo la segerea ni hatihati mpaka sasa! nguvu ya umma ipo mashakani.
Raia wamejitokeza kwa wingi sana, askari kibao ukumbi umejaa sana, hukumu bado haijaanza kusomwa wanasubiri wafunge spika kwa nje.
UPDATES:
Jaji bado hajaingia, raia waliojipambanua ni CDM na ndo wengi zaidi ya 95% na wamekula kombati, wapo makamanda toka mkoa mpya Katavi toka Mpanda mjini na Tunduma
Si amesema mahakamani Sumbawanga? Au unauliza kesi gani? ... Inahusu kupinga matokeo ya ubunge na leo ni hukumu.
Nyati - Hiyo signature yako ... I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind. ... What is that life changes which deals on the heart, on the face, and on the mind. Which hospital did you attend for such a surgical treatment?!!! Who is the performer?
By the way, mgombea wa CHADEMA alipata kura ngapi dhidi ya ngapi za mgombea wa CCM?
Hivi matokeo yalikuaje,yani namaanisha cdm ilipata ngapi na ccm ngapi?