Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

Dah,sijawah kuickia hyo kesi hata siku m0ja,nachokumbuka ni kwamba wakat wa kampeni za mwk 2010,kuna mg0mbea alitoa msaada KANISANI,lakin hata kama Joshua Joel alihongwa asiripot bado sion tatizo,yeye amehongwa je itv ndo chanzo pekee cha habari?

Chanzo kingine cha habari ni TBC-ccm.
 
Mahakama ipi? Kuwa specific mzee

Si amesema mahakamani Sumbawanga? Au unauliza kesi gani? ... Inahusu kupinga matokeo ya ubunge na leo ni hukumu.

Nyati - Hiyo signature yako ... I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind. ... What is that life changes which deals on the heart, on the face, and on the mind. Which hospital did you attend for such a surgical treatment?!!! Who is the performer?
 
Da! kwa kweli watu ni wengi sana naona njia ya kutoka christu mfalme imefungwa,kutoka mkoani nayo pia imefungwa,Polisi ni wengi kupita kiasi.

Ngoja tuone kutendeka kwa haki, manake ushahidi na vidhibiti vyote vilitolewa mahakamani ikiwa ni pamoja na mabati yaliyotolewa kwa rushwa na mgombea wa CCM Aishe Hilari dhidi ya kamanda Norbert Yamsepo (Chadema)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom