Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

Naamini haki itatendeka! na hakutakua na hukumu based on hearsay bali based on unquestionable facts. God bless us.
 
I hope CDM ni ya watu makini hayo unayoyasema sijui ni ya kundi gani la siasa. What kind of image are you trying to depict to the public?
Hebu tazama nilikuwa namjibu nani Bondpost.................
 
Last edited by a moderator:
Naamini haki itatendeka! na hakutakua na hukumu based on hearsay bali based on unquestionable facts. God bless us.

Hahahahah mkuu mbona wewe na jaji Mzena kama mnavua nguo yule jaji kilaza wa kesi ya Arusha ambae hukumu yake ilikua based on hearsay?kweli judges wengine sijui hizo taaluma walipata vp!
 
Uyo Judge mwambie awe makini na afanye maamuzi makini otherwise uko ndo Lyamba lya Mfipa hawana simile hao wanaweza kukupotezea apo apo!
 
Raia wamejitokeza kwa wingi sana, askari kibao ukumbi umejaa sana, hukumu bado haijaanza kusomwa wanasubiri wafunge spika kwa nje.

UPDATES:
Jaji bado hajaingia, raia waliojipambanua ni CDM na ndo wengi zaidi ya 95% na wamekula kombati, wapo makamanda toka mkoa mpya Katavi toka Mpanda mjini na Tunduma


Pmj mkuu,tupe mataarifa hayo,magamba watajuuuuuuuuta
 
Nitasikitika sana endapo ya Arusha yakijirudia hapo...

BORA YAJIRUDIE KUMBE WEWE HATA HUNA ABC ZA HII KESI,CCM WALICHAKACHUA MATOKEO NA MTU WAO AKASHINDA SASA CHADEMA NDIO TUNAOPINGA MATOKEO NA INAVYOONEKANA MBUNGE WA CCM ATAENGULIWA LEo
 
Back
Top Bottom