Elections 2010 Mbunge wa Sumbawanga mjini akiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia ofisi za CHADEMA Igunga

Hiyo Kijani ilivyokunjwa, ningekuwa mm hiyo ngumi ningeipeleka kwenye pua. paaaaah
Kwa walivosogeleana ngumi yaweza isilete matokeo mazuri labda kwa staili ya "one inch punch" ya bruce lee
Hapo cha harakaharaka na cha kuacha damage ya maana ni "kumtwisha Ndoo Usoni"
 
Kumbe mbunge wa sumbawanga mjini ni dume?
me nlisikia jina "Aeshi ,sijui aisha" nkahisi mdada.

Bora angekuwa mdada wamvue "mtandio" na "gagulo" kabisa BAKWATA walalame mpaka mapovu yawatoke! Wanakera sana hawa!
 
Huyo ilitakiwa agombaniwe na kuchezea kichapo arudi Swanga akakandwe na mkewe

Kesi ingekuwa nyingine tena hiyo. Angedai kacnaniwa bi**ni maana nao hawakosi.
Hivi yule dada aliyedai alimpigia simu aje amsaidie naye kaolewa? Kwa nini asimpigie mumewe akampigia huyu magamba mwenzake!
 
si wangempa za uso, sijui huyu atasingizia nini , labda kibaragashea cha kijani na mfiti adai ni fedhea kwake kwani kofia kuvuliwa na kafri ni zambi
 
Mbunge mwenyewe kilaza hata kuongea siasa hajui,sijui amefuata nini Igunga? Amejipeleka kutafuta umaarufu wa vurugu.Hopeless magamba kutumia watu wasio na fikra hata chembe.
 
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.

Kumbe aliwarushia risasi juzi, huyo ni mtu hatari sana. CDM chungeni sana ngwe hii ya lala salama.
 
teh teh teh hata ka ngumi kamoja hakupewa?
waambiwe ccm kuwa cdm huwa hatufungi ndoa za mkeka kama walivyofanya na cuf
 
Hii imetokea lini,wana JF mm sikuwa nafahamu juu ya hili,lakini hapa kuna jambo linatafutwa ni mtego wa kutafuta sababu ya ku-formulate kesi lakini pia huenda alipata hofu kwamba Bashe atatoa siri,kwa vile yeye ni mpabe wa karibu wa RA na ukizingatia alijivua gamba paispo kutaka.
Endeleeni kutuhabarisha kinachoendelea
Hawa CCM wanaweka mitego kama nilivyosema kwenye thread nyingine, jamani kina Nanyaro,Mtema, Lema hebu watulizeni vijana wasiwe na jaziba!!! Hizo ni hila za CCM maghaba type wanatafuta sababu ya kesi na kupunguza nguvu za kampeini ya CDM, chunga sana!!!!!!!!
 
Hawa jamaa wa magamba wameishiwana mbinu wanatapatapa tuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hawana tofauti na ule usemi ya wahenga walivyosema "MTOTO WA MBUZI KAMBA NI YAKE"
 
CDM ktka vitu ambavyo mmewahi kuniangusha ni hii ya huyu jamaa. Mwizi akiingia ndani mwako huyo ni halali yako jamaa alistahili atoke hapo anavuja mchuzi wa jogoo(mean anableed) puani na mdomoni na angepata walau fursa ya kwenda kuweka meno bandia ingekuwa full shangwe.

Anyaway hongera dokta kwa hekima zako za kumwokoa mwizi huyu
 
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
hiyo hali tata ya igunga imeletwa na nani? na mbona hatujasikia waki wakemea wale masheikh ubwabwa au ndio sera ya sisiemu (CCM), halafu wakisha wamaliza CDM na hiyo sumu ya masheikh ubwabwa ndipo watakula wenyewe kwa wenyewe ndani ya SISiemu, maana ukisha onja utamu wa utengano basi huta acha kutaka kula hiyo nyama? sasa ipo siku tutasikia why wilson na sio.....au why pusi na sio paka, wengine ndio hao wanafuga kitimoto na scarf ya kufunika kichwa
 
Umakini unahitajika namna ya kupambana na hawa Magamba maana wana mbinu chafu sana na tayari maangalizo yametolewa namna ya kukabiliana nao kwa kuwaepuka zaidi
 
Nimemtamani huyo mdai posho! Hv s wangempiga hata na mayai viza? Any way pokea dole la kati mr mp
 
Umakini unahitajika namna ya kupambana na hawa Magamba maana wana mbinu chafu sana na tayari maangalizo yametolewa namna ya kukabiliana nao kwa kuwaepuka zaidi

Hilo ni kweli mkuu, ni kuwa makini kama walivo fanya Tarime wakati wa uchaguzi mdogo baada ya the late Chacha. Magamba walitumia kila mbinu chafu lakini peoples power ikawin! Kwahiyo CDM wakijipanga vyema huko Igunga hasa katika kusimamia kuhesabu kura it is obvious Magamba out!
 
Rage yeye aliinyesha tu, wala hakuitumia. Huyu aeishi yeye alizimimina kabisa.! Hivi ndo itikadi yao ya chama au??
 
Jamaa mwenyewe alishinda kwa bahati sna halafu huko Igunga analeta shobo acha watu wamtie makonde
 
Back
Top Bottom