Elections 2010 Mbunge wa Sumbawanga mjini akiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia ofisi za CHADEMA Igunga

hiyo avatar yako inaonyesha jinsi mtu anavyojitahidi kudanganya mpaka basi, pia nadhani hii picha ya huyu mbunge ni mbaya zaidi haya ya dada Fatuma lakini anajijua makosa yake
Mbona huyo jamaa mwenye shati lenye strips anaonekana kama anataka kumpa ngumi....

Duh!! Mpaka J2 tutaona mengi...
 
Hiyo Kijani ilivyokunjwa, ningekuwa mm hiyo ngumi ningeipeleka kwenye pua. paaaaah

umeonaa eeh m nilijua nakuta picha za damu puani mpaka sehemuza siri nyie vipi chadema hao ni act tu
 
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.

Bashe na Beno Malisa wanaongelea usalama wa Igunga kama kina nani?
Polisi kazi yao ni ipi kama kuna hatari hadi bashe ndo aongelee hali
ya hatari huko?

Majambazi tu hao wawaadabishe
 
Hii imetokea lini,wana JF mm sikuwa nafahamu juu ya hili,lakini hapa kuna jambo linatafutwa ni mtego wa kutafuta sababu ya ku-formulate kesi lakini pia huenda alipata hofu kwamba Bashe atatoa siri,kwa vile yeye ni mpabe wa karibu wa RA na ukizingatia alijivua gamba paispo kutaka.
Endeleeni kutuhabarisha kinachoendelea
 
Jamani.. Wapigieni cm, waambieni wamsachi mfukoni.. Ana cheki ya hela kibao ameingia hapo kunyunyizia upupu.. Kwa taaarifa cheki yenyewe ni feki.. Ukiideposit baada ya cku saba utaambulia account fraud note.. Msipokee cheki yoyote kutoka kwa yeyote.. Tahadhali nimepewa nimeitoa ivoivo.. Sitaki ushahidi zaidi
 
No comment mpaka hapo nitakapofahamu alifuata nini ofisi ya chadema.
 
hii imetokea lini na polisi wamefanya nini?
wasi wasi wangu asije sema alitekwa na kupelekwa huko sio yeye aliye vamia

Alikwenda kudumisha mila ya Sumbawanga(Kuloga) imekuwaje kaingia hadi ndani ya ofisi bila hata kuzuiwa nje?Sumbawanga inaongozwa kwa maprofesa asilia.
 
Jamani kuna watu huwa hawafahamiki kabisa hivyo anaanzisha jambo lolote ili kupata attention ya media na watu watamfahamu. Nyie mnafikiri huyu Zuzu nani anamfahamu?

mkuu hapo umenena,media attention.to hell with him, he is a political hooligan.
 
kwa taarifa za uhakika ni kuwa kweli magamba wakiongozwa na BENO, BASHA NA MAKAMBA wameenda kutafuta mwafaka na CDM ghafla akaingia Aeshi ndo yakatokea hayo lakini kwa busara za Dk wa ukweli , vijana wakamwachia ndo wakaanza kumwaga pumba zao.
 
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
Hali ya hatari wanayoizungumzia kuwa ipo Igunga ni ipi? wanakuza tu maneno pamoja na hayo magazeti, ukiacha vurugu zinazoanzishwa na CCM Igunga kupo shwari kabisa
 
Back
Top Bottom