Chonde chonde baba muulizeni kwanza ni wadini gani maana....!
View attachment 37994View attachment 37994 muulizeni kafuata nini chadema? wakati juzi alitaka kuua watu wetu na kuchoma magari ya chama?
Wanamaker jf sikweli hili jambo Dk Slaa aje atueleze ukweli hajavamia tusipoteshe
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
Huyo ilitakiwa agombaniwe na kuchezea kichapo arudi Swanga akakandwe na mkewe
Jamani hii hatari sasa ina maana watu wanataka kutoana macho kwa sababu ya uchaguzi mmbunge wa sumbawanga anafanya nini Igunga. Its one thing to campaign for votes but its another thing to attack each others because of winning votes. Inashangaza sana kuona the amount of political big-wigs waliojaa huko in the name of election. Something is not right in our politics.
Huyo ni muislamu mfu anayekula kitimoto kwa kwenda mbele, nilichangia jana kwa kina kuwa namfahamu tangu primary, alifukuzwa shule kaniacha, kesi ya kupinga matokeo yake iliunguruma jana hapa Sumbawanga, chakusikitisha baba yake mzazi yuko hoi na Kisukari kinammaliza, yeye anafanya ujinga ujinga tu huko! Pumbafu zake.Walitakiwa wamhasi, jeuri itaisha ili amkose hata huyo Easta Bulaya!
hii imetokea lini na polisi wamefanya nini?
wasi wasi wangu asije sema alitekwa na kupelekwa huko sio yeye aliye vamia
Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
Wanamaker jf sikweli hili jambo Dk Slaa aje atueleze ukweli hajavamia tusipoteshe
Inaonekana huyo mh Aeishi ana kiherehere sana,mtu hajaalikwa anakwenda kufanya nini?Tukio lenyewe liko hivi - Ni kwamba Bashe aliomba kuja kuongea na Viongozi wa CDM kuhusu hali ya hatari iliyopo hapa Igunga. Akaja na Beno Malisa. Wakati mazungumzo yanaendelea ndipo ghafla akaingia mbunge Aeishi bila kualikwa. Vijana walipomwona adui namba moja aliyewarushia risasi majuzi tu wakaamua kumweka chini ya ulinzi. Kama sio Dr Slaa kuwa karibu sijui wangemwokotea wapi leo.
muulizeni kafuata nini chadema? wakati juzi alitaka kuua watu wetu na kuchoma magari ya chama?