Mbunge wa Jimbo la Liwale CUF Zuberi Kuchauka, muda wowote atahamia CCM

Pongezi kwa, Katibu Mwenezi Ndugu Polepole. na Mheshimiwa sana Rais Magufuli, Biashara inalipa wazee ila Tukumbuke hii Biashara haikua moja ya Ahadi za Mwenyekiti wetu Mpendwa. Nimalize kwa kusema "Bias hara Haram haijawai Kulipa! Na ikilipa ni kwa mda tu, Mbaya zaidi hizi drama zinafanywa kwa Pesa za WANA INCHI! Kunaumhim kwa siku za Usoni( Kuyamlika) Mambo haya ilikujua hizi Pesa ni Za CCM AU SERIKALI. Ili kila Mshilika alipwe Sawa na Alivyo Tenda.
 
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Chelsea na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Chelsea kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani
 
Mm sijawai kuwaamini Cuf hata sikumoja .

Unamaanisha Wanaohama Upinzani Na Kuhamia CCM ni CUF tu?? Tufukue Makaburi ama?

Haina Haja! Tukianza Kusutana Umbra itakuwa ni Faida Kwa Lumumba..

Rekebisha Kauli Yako Mkuu! Kabla Ya Mbunge Wa CUF Kuhama Fahamu Kuwa Kuna Madiwani, Wenyeviti, Wanasiasa Maarufu Wengi Walishahama Vyama Vyengine Vya Upinzani Kwenda CCM ndani ya 2017.
 
Naamini kuna siku upinzani wa kweli utakomboa taifa hili, hawa wachumia tumbo wahame tu!
Traitors belong to hell
 
We pumba nn we
Kwani huyo mbunge si anahama kwa hiari yake
Nyarandu alivyohama mbona ilikuwa fresh tu
Kisa katoka ukawa kwenda ccm
Wasese nn
Hujui unalolisema!! Furahia ushetani huu unaotuongoza kuzimu .
Bado nasema hujui unalolitaka
 
Muda wowote kuanzia sasa, kuna uwezekano mkubwa wa Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF)Mh ZUBERI KUCHAUKA kuhamia CCM kuunga mkono juhudi za Mh Rais kama wahamiaji wengine wanavyosema.

Jumapili njema kwenu nyote!!
kuunga mkono juhudi la kuwanunua yani awamu hii ufisadi kuliko wa jk
 
Chini ya utawala huu hela za ccm zitaliwa sana, na wanaozila sana ni wapinzani kuliko wafia chama wa ccm
 
Hujui unalolisema!! Furahia ushetani huu unaotuongoza kuzimu .
Bado nasema hujui unalolitaka
We unaejua unajua nn
Ungekuwa unajua ungekuwa hapa
Wanaojua wako kule we uko hapa unang'aang'aa mimacho tu
Mi nipo chama fulani naona hawa wanachama wenzangu wanayumba au wanagudukaguduka c nahamia chama kingine ninachokipenda kwan shida iko wapi
Magu magu !!!!! Ninyi nina wasiwasi kuna vitu mmelishwa
 
Back
Top Bottom